Rais Uhuru hadi sasa ametimiza kura 7,263,496 kidogo zifikie idadi yake ya mwanzo

catalonia wanasulubiwa huyo na madrid lakn sijasikia nchi yeyote ya ulaya au amerika ikikosoa!, lkn ingekua afrika ungesikia kelele za kila aina.........

kuna wakat naamn wazungu shida yao ya kuitangaza vibaya afrika,
 
kabisa na vibaya zaidi waafrika bado tunasubiri wao wazungu watuelekeze juu ya maisha yetu na siasa zetu...na mzungu hutanguliza maslahi yake kabla ya waafrika....huu utumwa sijui utaisha lini..
 
Wakikuyu bhana.
Mwenyekiti wa tume yenu alishasema uchaguzi hautakuwa wa huru na haki, wewe unakuja tuletea idadi za kupika hapa.
Mnasikitisha
 
Which means the 1st tally of August 8th was the right vote results.Ukifanya experiment mara mbili upate matokeo sawa ni kusema ile petition ililetwa kwa uongo na unafiki mkubwa.
 
Which means the 1st tally of August 8th was the right vote results.Ukifanya experiment mara mbili upate matokeo sawa ni kusema ile petition ililetwa kwa uongo na unafiki mkubwa.
Ukabila ni sumu
natumahi ulienda shule...
nasikitishwa wizi wa wazi watu hawaoni
 
He..unapingana na Mashinji?
Mimi sina chama..

Na siwezi shikwa akili na kiumbe chochote hapa Duniani.

Kama Kuna watu wanashikwa ubongo na mashinji,basi pole yangu iwafikie popote walipo.

Mimi nasimama kama mimi.
 
Waluo hawajui siasa wala uongozi wanachojua ni mapenzi(ngono),kupenda sifa na fujo !
 
Sana sana watakuwa wamemuongezea Uhuru asilimia kubwa ya ushindi kuliko ile ya mwanzo.
 
Wakikuyu bhana.
Mwenyekiti wa tume yenu alishasema uchaguzi hautakuwa wa huru na haki, wewe unakuja tuletea idadi za kupika hapa.
Mnasikitisha

Tatizo vyombo vya habari vina unafiki wa kiaina
Hawakuandika hotuba yote ya mwenyekiti na waliandika vipande vipande ili kuibua hisia za watu wasiodadisi kama wewe
Mwenyekiti alisema kama wanasiasa wakiendelea kutamausha zoezi basi hatohakikisha uchaguzi wa haki na huru
Mfano ni maeneo ambapo watu walizuiwa kupiga kura kwa kutishiwa vifo, ni wazi matukio kama hayo yanadhihirisha hakukua na haki maeneo kama hayo.
 
Tueleze hiki bwana MK254 iweje mtu mgombea pekee yake anaibuka na"kura" zaidi ya waliojitokeza. 6.5 vs 7. 2 million, sijui nini bado wanapika kule Bomas..... Aisee mnatubeba ufala!!!
 
Kwa hiyo kumbe hata kama Raila angeshiriki uhuru angeshinda tu sasa waache rongorongo waijenge nchi yao
 
Tueleze hiki bwana MK254 iweje mtu mgombea pekee yake anaibuka na"kura" zaidi ya waliojitokeza. 6.5 vs 7. 2 million, sijui nini bado wanapika kule Bomas..... Aisee mnatubeba ufala!!!
'...Aisee mnatubeba ufala'...Hapa unamaanisha nini??
 
#Arrest_Alice_wahome the election was wahomed.... This is called Chabukatinization election..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…