Najitahidi kuweka Clip fupi najua vyuma vimebanana ila hii Clip Ya Omar Eno ni dakika tatu ilia unaweza ukaielewa ndani ya dakika moja halafu ukaGoogle jina lake kuna mambo mengi ambayo wasomali wakush hawapendi ajulikane ila trust me utawaelewa hawa jamaa vizuriShekhe,ukiona Uzi wako hauna komentj usilazimishe aisee,pia hatuna MB za kutazama hiyo yuutubu yako.
Fanya uandike maelezo hapa
Naona unajararibu kubahatisha anyway mimi ni Mbantu Original na Siwezi kukaa kumya na kuiona Nchi yenu yenye historia ya kuua kuiba kuvamia my Bantu Brothers.big up Cushitic Brother.
Haha π I love this one.Naona unajararibu kubahatisha anyway mimi ni Mbantu Original na Siwezi kukaa kumya na kuiona Nchi yenu yenye historia ya kuua kuiba kuvamia my Bantu Brothers.
Anyway numepata Elimu yangu nchini Kenya kwa Msaada wa Kanisa.
Usijaribu kuninunua ili ninyamaze haswa Ukizingatia Oil ambayo vizazi vyetu vitafaidika kwa njia Moja au ntingine
Nyinyi ni wabinafsi hata kama nchi yenu itakuwa na Oil mtawafaidisha Waarabu Mtanunua Silaha na kujiunga na Maadui wa Israel "taifa teule"
Tanzania mnaongoza kuhonga maafsa wa Uhamiaji ili mkae kwa kutumia fedha,huku mkichukia wenyeji wenu kisa Ubantu.
Hamtaki Kuoana na Sisi kwa kujiona kuwa nyinyi ni matawi ya juu wakati ni wakimbizi tu.
Munajiona kuwa ninyi ni Waisilamu kuliko waarabu.
Wacheni Kung'ang'ania Bahari ya Kenya na Mimi nitaacha kufuarulia Issue zenu na kuzianika
View attachment 1034637
Mbona inawaumaa?!!!...Hili jukwaa utaniona Pale Alshabab wanapofanya Uvamizi au Somaliia inapofanya madhila ya Uvamizi wa Bahari ya Kenya lakini huwezi kunona hapa kama hakuna Tukio lolote Kati ya Somalia na Kenya hebu jaribu kunitafuta kama hakuna Mgogoro wa Kibabe huwezi kuniona Mimi naamini Weak Somalia ndio Somalia nzuri ukiangalia historia Somalia imekuwa ikivamia na kupora na kuuwa kama 1977 walipoivamia Ethiopia.Moderator, jukwaa la Somalia linahitajika kwa dharula. Jf tumejaaliwa kupata ripota kutoka Somalia. Tena anakatiza kote kote bila tashwishi, kutoka Jubaland, Puntland hadi nchi jirani ya Somaliland. [emoji1]