Rais Uhuru kenyatta akimdhibiti Raisi wa Somalia kama Msichana.

Rais Uhuru kenyatta akimdhibiti Raisi wa Somalia kama Msichana.

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
55,997
Reaction score
88,219
Unajua mimi ninamkubali saana Raisi Uhuru Kenyatta angalia hii Clip anavyo MuOwn Raisi Mwenye Roro mbaya wa Somalia kama Binti kigoli au Mwali πŸ˜‚πŸ˜‚

Rais wa Mogadishu kidogo alie hahahah!!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Raisi anaivuka Podium ndio ije kuwa mpaka wa Bahari ya Kenya.
 
No!..No! Mr President that Territory belongs to Kenya.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mawee!! Mbavu zangu mie.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Asha Abdou MALIKA msomali mbantu akimwaga vitu.
 
Akirudi Somalia anaenda kuwatuma Alshabaabu waje waue raia wa Kenya.
 
Hawa Wasomali Mzuka wa Kibantu hawatauweza.

The Drums of War
 
Uhuru Kenyatta ni kiboko yao halafu yuko Whisky kwa mbaali.
 
South Somalia inataka Raisi Barida atakaekaa kwa wema na Majirani zake atakae wacha mchezo huu wa Alshabaabu.
 
Huyu Prifessa Omar Eno ndio anafaa kuwa Raisi wa South Somalia mambo yote yatatulia hakuna Cha Alshababu wala nini Very SMART guy na Somaliland inamkubali bila pingamizi lolote

Atabadilisha katiba kuwa Wasomali Wakristu waruhusiwe kufanya ibada hadharani tumuungeni mkono Msomi huyu ili Somalia na East Afrika tuishi Salama salimini.
MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU HUYU JAMAA NI MKWELI
 
Shekhe,ukiona Uzi wako hauna komentj usilazimishe aisee,pia hatuna MB za kutazama hiyo yuutubu yako.

Fanya uandike maelezo hapa
 
Shekhe,ukiona Uzi wako hauna komentj usilazimishe aisee,pia hatuna MB za kutazama hiyo yuutubu yako.

Fanya uandike maelezo hapa
Najitahidi kuweka Clip fupi najua vyuma vimebanana ila hii Clip Ya Omar Eno ni dakika tatu ilia unaweza ukaielewa ndani ya dakika moja halafu ukaGoogle jina lake kuna mambo mengi ambayo wasomali wakush hawapendi ajulikane ila trust me utawaelewa hawa jamaa vizuri
Na ni kwanini wamang'ang'ania Bahari iliyo ndani ya Mpaka wa Kenya.
 
Moderator, jukwaa la Somalia linahitajika kwa dharula. Jf tumejaaliwa kupata ripota kutoka Somalia. Tena anakatiza kote kote bila tashwishi, kutoka Jubaland, Puntland hadi nchi jirani ya Somaliland. [emoji1]
 
imhotep vipi ndugu? Naona unawakilisha our beloved Somali brothers tena kwa ushupavu, never lose your indentity kwani muacha mila kawa mtumwa...big up Cushitic Brother.
 
big up Cushitic Brother.
Naona unajararibu kubahatisha anyway mimi ni Mbantu Original na Siwezi kukaa kumya na kuiona Nchi yenu yenye historia ya kuua kuiba kuvamia my Bantu Brothers.

Anyway numepata Elimu yangu nchini Kenya kwa Msaada wa Kanisa.

Usijaribu kuninunua ili ninyamaze haswa Ukizingatia Oil ambayo vizazi vyetu vitafaidika kwa njia Moja au ntingine

Nyinyi ni wabinafsi hata kama nchi yenu itakuwa na Oil mtawafaidisha Waarabu Mtanunua Silaha na kujiunga na Maadui wa Israel "taifa teule"

Tanzania mnaongoza kuhonga maafsa wa Uhamiaji ili mkae kwa kutumia fedha,huku mkichukia wenyeji wenu kisa Ubantu.

Hamtaki Kuoana na Sisi kwa kujiona kuwa nyinyi ni matawi ya juu wakati ni wakimbizi tu.

Munajiona kuwa ninyi ni Waisilamu kuliko waarabu.

Wacheni Kung'ang'ania Bahari ya Kenya na Mimi nitaacha kufuarulia Issue zenu na kuzianika
gettyimages-sb10064262d-001-1024x1024.jpg
 
View attachment 1034637
Haha πŸ‘ I love this one.
mwaswast, kumbe wewe ni mualshabaabπŸ˜…πŸ˜…
 
Moderator, jukwaa la Somalia linahitajika kwa dharula. Jf tumejaaliwa kupata ripota kutoka Somalia. Tena anakatiza kote kote bila tashwishi, kutoka Jubaland, Puntland hadi nchi jirani ya Somaliland. [emoji1]
Mbona inawaumaa?!!!...Hili jukwaa utaniona Pale Alshabab wanapofanya Uvamizi au Somaliia inapofanya madhila ya Uvamizi wa Bahari ya Kenya lakini huwezi kunona hapa kama hakuna Tukio lolote Kati ya Somalia na Kenya hebu jaribu kunitafuta kama hakuna Mgogoro wa Kibabe huwezi kuniona Mimi naamini Weak Somalia ndio Somalia nzuri ukiangalia historia Somalia imekuwa ikivamia na kupora na kuuwa kama 1977 walipoivamia Ethiopia.
 
Back
Top Bottom