Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
My ribs!!! I said that I love your comment and this is your reaction?? π©πRubish!!
Duh,sawaNajitahidi kuweka Clip fupi najua vyuma vimebanana ila hii Clip Ya Omar Eno ni dakika tatu ilia unaweza ukaielewa ndani ya dakika moja halafu ukaGoogle jina lake kuna mambo mengi ambayo wasomali wakush hawapendi ajulikane ila trust me utawaelewa hawa jamaa vizuri
Na ni kwanini wamang'ang'ania Bahari iliyo ndani ya Mpaka wa Kenya.
Hahaaa... unaeza kuta mtu ana andika thesis kupitia JF.Moderator, jukwaa la Somalia linahitajika kwa dharula. Jf tumejaaliwa kupata ripota kutoka Somalia. Tena anakatiza kote kote bila tashwishi, kutoka Jubaland, Puntland hadi nchi jirani ya Somaliland. [emoji1]