Rais Uhuru kenyatta akimdhibiti Raisi wa Somalia kama Msichana.

Rais Uhuru kenyatta akimdhibiti Raisi wa Somalia kama Msichana.

Sote tunajua Qatar ilikuwa Ikisaidia ISIS kifedha na imekuja kuumbuka

Leo hii Raisi wa Somalia kaenda Qatar kuchukua mamilioni ya Dollar hebu fikiria hizo fedha ni za kuwalipa AS ili wafanya mashambulizi nchini Kenya.
DAr4OnwXgAApjw_.jpg

Hapa ameenda kuomba Hela hatimae kavuta Cheki
 
Najitahidi kuweka Clip fupi najua vyuma vimebanana ila hii Clip Ya Omar Eno ni dakika tatu ilia unaweza ukaielewa ndani ya dakika moja halafu ukaGoogle jina lake kuna mambo mengi ambayo wasomali wakush hawapendi ajulikane ila trust me utawaelewa hawa jamaa vizuri
Na ni kwanini wamang'ang'ania Bahari iliyo ndani ya Mpaka wa Kenya.
Duh,sawa
 
Back
Top Bottom