Rais Uhuru Kenyatta amsamehe Diwani aliyemwambia 'aache kuvuta bangi'

Jameni watu wananiona chizi hapa kwa jinsi umesababisha nicheke. Wewe utakua mvuta hayo majani.
 
Jameni watu wananiona chizi hapa kwa jinsi umesababisha nicheke. Wewe utakua mvuta hayo majani.
sasa mi hapa nilipo kwa bar nimelewa kidogo na ni saa nane mchana, imajin vile nimecheka after kusoma hio comment, its twice funnier
 
napinga always watu wanaokula mmea huwa wako very humbled,ungesema ni mlevi ndomana anapeleka watu puta ningekuelewa maana unaweza kuamka na hangover alafu unahasira utaekutana nae mbele yako atapata shida
mkuu zile makitu ukivuta mbichi zinakuja kufumuka baadae pindi zikianza kukaukia kichwani...nadhani ndicho kinachomsibu huyu dingi,heheh
 
Hata Tanzania. Rais Mwinyi alimsamehe mtu aliempiga kofi.ila selekali haikumsamehe kwahiyo hahuyo amesamehewa na laisi tu .ila selekali haikumsamehe.
 
Ukweli ni kwamba imeamua kumsitiri Uhuru maana mwanasheria wa mshitakiwa alitaka vipimo!

Serikali ikaona isiwe shida uchaguzi ni hapo 2017 wasitengeneze kashfa nyingine.
 
Ukweli ni kwamba imeamua kumsitiri Uhuru maana mwanasheria wa mshitakiwa alitaka vipimo!

Serikali ikaona isiwe shida uchaguzi ni hapo 2017 wasitengeneze kashfa nyingine.
Asante mkuu kwa maoni yako..!
 
Nimekumbuka dikteta uchwara!! Nimekumbuka yule aliye tozwa mil. 7... nimekumbuka mtu anayejiita mtakatifu!!!
 
Huyu mti ni jangaa!! Kuna mtu wanamshtaki kila siku lakin huyo mtu ni kichwa....kila siku anawashinda kesi
 
Ningelikuwa mimi ningeliwafutilia mbali robo tatu......(.....)
 
Hahahaha aiseee huo ndio ubinadamu sio kila kitu kutumia nguvu kubwa kwa sababu tu una nguvu hiyo ila huyo jamaa lazima anakula sana majani

Pambaja ni kitu gani ??
Hii ya kula majani nilistuka longi, macho ya mr presidaa yamekolea flani, halafu ninasikia mtu wa totoz kinoma.
 
Hii ya kula majani nilistuka longi, macho ya mr presidaa yamekolea flani, halafu ninasikia mtu wa totoz kinoma.
Hahaha yeah jamaa anaonyesha kabisa ni mtumiaji ,hapo kwenye totoz ni udhaifu wa wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…