Rais Uhuru Kenyatta amthubutu William Ruto kuondoka Serikalini

Binafsi ninamshangaa Mh. Rutto.

Yaani anawezaje kujitenga na "mapungufu ya serikali yao"?!

Kuushambulia utawala wa mh.Kenyatta ni kujishambulia yeye mwenyewe.

#SiempreJMT
Hujielewi kama huelewi uliza ruto ndie aliyetengwa unatakaje
 
Hivi Rutto ana nguvu gani Kenya? Maana naona kama anafanya anachotaka kwenye serikali ya Kenyatta.
Ninadhani ni katiba ndo inampa nguvu hizo, Sina hakika, lakini, ni kama vile rais hana jeuri ya kumfurusha. Ingekuwa ni TZ , saa hii tupo nae mtaani
 
Kuweka kumbukumbu sawa.

1. William Ruto yupo pale kikatiba, hakuna mwenye uwezo wa kumtoa, labda ajiuzuru yeye mwenyewe, na hana mpango wa kujiuzuru.

2. Chanzo haswa ni uchaguzi wa mwakani, Uhuru ameamua kusimama na Raila huku akimuweka kando Ruto, Ruto ameamua kusimama mwenyewe, hana cha kupoteza.

3. Kihistoria inaonekana Ruto ndio nguzo kuu ya wawania urais kenya kupata ushindi, upande anaokuwa Ruto ndio uaminika huwa unashinda. Hatujui zamu itakuwaje.

4. Zamu hii Ruto ameamua kutokuwa msindikizaji, anataka na yeye asindikizwe kuingia Ikulu.

5. Ruto anasemwa kama ni mwanasiasa mjanja, hatari, mla rushwa na mroho wa madaraka, anajua kucheza kila sarakasi za siasa za Kenya, njia pekee ya kumnyima urais wa Kenya ni makabila makubwa matatu kuungana kinyume naye.
 
Let me tell you🙈Their is no serious Kikuyu Candidate this time,Alafu kenye inakasirisha Akina Uhuru na Raila ni kuwa,ata wafanyeje ama wasemeje Ruto has 95%support from mountKenya,Yani Wakikuyu Hao umetaja,wen they see Ruto wanaruka kiuchizi kwa Furaha,because Ruto ndiye aliye wasaidia kumweka mtu wao kwenye kiti,"Yangu Kumi Yake Kumi"That's all they remember,Ruto Ndio President 2022 Naaapa,Take it to the Bank🔥🔥Tafakari hayo
 
Hivi Rutto ana nguvu gani Kenya? Maana naona kama anafanya anachotaka kwenye serikali ya Kenyatta.
Do you know the most dangerous communities in Kenya during elections,the Kikuyu and the Kalenjins since Uhuruto elections they shook hands,and now thats where Rutos strength is,Ruto akona nguvu kila pande ya Kenya even in Railas background,
 
Nguvu ya Raila kulingana na Wafuasi wake ilikuwa_western(Luyhya),Nyanza(Luos),Coast(Pwani communities,Ukambani(kambas),
But now it's not the same because politics is reshaping itself in Kenya,
1)Western, have declared they won't support Raila but he should support them back,because they've supported him a long time without winning they even accuse him of being selfish and Greedy for Power.
2)Ukambani,Kalonzo alisema live kwenye TV eti,"I should be mad to support Raila again"alisema pia ni wakati wake Wana NASA wote wamshike mkono pia,alafu pia Kuna spirit flani ya chuki dhidhi ya Raila Ukambani kwasababu wanadai eti Raila aliwakosea Heshima Wanawake wa Kikamba🔥🔥
3)Coast Region_Wanataka kuanzisha Pwani party na hiyo haijamfurahisha Raila kwasababu hayo maeneo yalikuwa ODM zone,alafu pia wao wanataka Raila apige support mtu wao pia,alafu pia Kuna election ilifanyika juzi Msambweni pia ODM ilishindwa,Pia ukumbuke Aisha Jumwa,na Mohamed Ali yule wa Jicho pevu,wako pande ya UDA,hio imefanya Akina Joho kutetemeka Sana na kuwakosesha Amani kichwani.
 

Mwendazake nae alianza kutuletea story za wasukuma.
 
Ninadhani ni katiba ndo inampa nguvu hizo, Sina hakika, lakini, ni kama vile rais hana jeuri ya kumfurusha. Ingekuwa ni TZ , saa hii tupo nae mtaani

Sio mtaani tu angekua huko kwny safe house sa hivi au ameumwa ghafla akakata moto.
 

Bottom Up approach,wheelbarrow.
 
Siasa ya Kenya nimeipenda sana haina unafiki viongozi wanachanana live
Uhuru says: I dare you to resign.
Ruto says: i wont budge an inch.
Uhuru says: pistols at dawn.
Ruto says: Bring it on.
Uhuru says:Nitakufinya
Ruto says:Thubutu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…