Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
So you have now diversified to gay and lesbian business? Hongereni!Jisaidie kwanza., hamna chochote, tunawasaidia kwa kuwapa soko., tumewahurumia uchumi wenu usiporomoke, it is delicate coz is not sufficiently diversified., na nimeona ni desturi dunia nzima gari za mizigo na ndege zunaruhusiwa kuvuka borders, si jambo jipya, maybe hauna taarifa mwana ccm, sioni issue hapa., wewe umeshikwa na kinyongo tu., ni chuki unayo kwa Kenya., pole kaka mtafika tu, ila mkitoa ujinga katika kuendesha nchi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili finyu.[emoji23][emoji23][emoji23]So you have now diversified to gay and lesbian business? Hongereni!
Sent using Jamii Forums mobile app
Stupid.
Huwazi hata wakulima waliopo Arusha na jamii nzima baada ya biashara ya utalii kudorora basi angalau wana soko la chakula nje? Badala ufurahi kuwa Kenya imeendelea kufanya biashara na sisi unajitutumua. Kwani sisi hatuna bidhaa tunaagiza kutoka Kenya? Pita madukani embu.
Kwani anafunga mipaka kupigana na TZ au covid?
Madereva weshaambiwa watapimwa wakiwa negative wataruhusiwa.
Tunahitaji biashara ya chakula na Kenya iendelee maana hakuna utalii kabisa. Tunawahitaji na wanatuhitaji.
Aya unayozungumza ni kama ule ushindani wa watoto wakigombania gari linalopita barabarani kuwa ni la baba yake
Just use kiswahili.Heri kufa kuliko kuisaliti Tanzania na serikali yake hata awe Rais wa aina gani am nothing to this amazing nation, it's awesome to be Tanzanian. Kenyans are just Hypocrite and this is is the only time that we should exercise our patriotism than ever. I stand firm with my assertion.
Jombaa, yaani miaka mitatu tu tangu mpate uhuru ndio mmekuwa na surplus kwenye biashara kati ya Kenya na Tz? Alafu huwa unaona sifa kujimwambafy humu wakati Kenya ndio imekuwa ikipata hela nyingi kupitia viwanda miaka yote hiyo? Hongera lakini kwa kusoma hiyo taarifa kwenye hiyo link ambayo niliitupia humu, sio kawaida kwako. 😀Tanzania kwa miaka mitatu mfululizo tumekua tukiuza zaidi Kenya kuliko Kenya ilivyokua inauza Tanzania, tena kwa gap kubwa, ni mwaka Jana pekee ndio Kenya iliuza bidhaa zaidi Tanzania, hii ni kwa sababu chakula kingi hatukuwauzia wakenya.
Kwa ujumla Kenya mnauza bidhaa chache sana Tanzania,tena sio bidhaa muhimu, hata zisipokuja hakuna mtanzania atagundua kwamba kuna upungufu wa bidhaa, tukisimamisha kuzileta,kila mkenya atajua kwamba "something is wrong".
Tanzania trade with Kenya turns into deficit
Just use kiswahili.
Kenya is far from TanzaniaHungry Kenyans you are allowed to come and feed your selves.The world knows you as people who can't think on your selves.You just copy and peste,you love to be like wazungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tabu tupu
Kelele nyingi halafu unakuta babu/baba/au mlezi ni mkulima wa maharage na ndo alisomeshwa na wateja wa maharage kutoka Kenya huko.
Ndio sababu tunawaambia enzi za Kenya kubebwa na nchi za Magharibi zimekwisha, enzi hizo Kenya ilikua ikipata support kubwa sana toka Capitalistic countries, Tanzania tuliwekewa vikwazo kwa sababu ya kuwa kinara katika ukombozi wa Africa.Jombaa, yaani miaka mitatu tu tangu mpate uhuru ndio mmekuwa na surplus kwenye biashara kati ya Kenya na Tz? Alafu huwa unaona sifa kujimwambafy humu wakati Kenya ndio imekuwa ikipata hela nyingi kupitia viwanda miaka yote hiyo? Hongera lakini kwa kusoma hiyo taarifa kwenye hiyo link ambayo niliitupia humu, sio kawaida kwako. 😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Madereva wenu lazima wapimwe upande wa Kenya kwa kutumia vifaa vyetu ili waruhusiwe kuingia. Juzi niliona kwenye video mkuu wa mkoa wa Tanzania uliopakana na Namanga akitoa amri kuwa madereva wa TZ hawatapimwa upande wa Kenya, lazima wapimwe upande wa TZ. Rais Uhuru leo amesema aidha madereva wenu wapimwe upande wa KE au hawataruhusiwa kuingia. Middle income imeanza kupiga pressups. Nyie Ldc itabidi mumetii. Vipimo vyenu hatuviamini sisi, vinasema eti nanasi na chungwa vina corona? Geza Ulole
Lini unarudi kwenu Muranga?
Serikali ya US inafadhili jeshi la Kenya kupigana na Alshabab kwa kifupi us ameweka military base hapo na wanaukufa ni wakenya kwa vita isiyo yao sababu ya tamaa ya hela.Kenya is far from Tanzania
Vitu Kenya imefanya bila usaidizi wa hako kataifa kenu, ni mingi sana.
We can't remember when it was when Kenya started fighting with alshaba..
From last year up to kenya imechapana na locusts, magaidi na corona na sasa inapigana na usambazaji wa Corona kutoka Tz.
Go and find clean water, Nairobi haina maji hata ya kunawa mikono.Kufanya nini Murang'a....
Mnaingiza bidhaa gani while azam,metl na azania inalisha mpk huko kwenu!Aliyewaambia nyie washamba kwamba cargo kutoka Kenya haziingi Tz ni nani? Tena Kenya inauza bidhaa nyingi Tanzania zaidi ya inazonunua, alafu bidhaa zenyewe ni kutoka kwa viwanda. Deficit kati ya Kenya-Tanzania ilikula kwenu kwa 'tune' ya $35.7million mwaka jana! Endeleeni na propaganda zenu za kilumumba, wakati kumeza madawa tu na hata sabuni za kuoga huwa lazima muone 'Proudly Made in Kenya'.
Mbona hamna hii hasira wakati zambia ilifunga mipaka?Kenya aise,Yaani ni kama demu anadeka vile,anataka pesa ya mwanaume,ila hataki kuvua chupi,anabaki kujing'ata kidole.