Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unawapiga vijembeNi haki yake hata hivyo, kila mtu ana haki ya kuamua nani aingie na yupi asiingie nyumbani kwake, binafsi sioni tatizo hapo, so far so good, ila waathirika wakubwa hapo ni chadema, au niseme wapiga kura wa chadema wao ndio waliojazana Kenya, lkn cha ajabu wamejaa hapa kushangilia, ...
Low IQ!
Unajua Kenya na jeshi yake kuliko wenye wako kwa serikaliSerikali ya US inafadhili jeshi la Kenya kupigana na Alshabab kwa kifupi us ameweka military base hapo na wanaukufa ni wakenya kwa vita isiyo yao sababu ya tamaa ya hela.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usafirishaji wa bidhaa kati ya Tanzania na Kenya utaendelea, madreva watapimwa kabla ya kuvuka mpaka. Waliopositive hawatasruhusiwa kuvuka na walionegàtive watavuka. Mtu akiwa positive mmiliki wa Lori anatafuta dreva mwingine anavusha mzigo. Utaratibu huu utawahusu pia madreva wanaoleta bidhaa tanzania toka kenya! Ni upanga ukatao kuwili na ni utaratibu mzuri tu.Sisi Kama Tanzania tunalishaa Kenya,tukifunga mpaka watakufa. Wacha tuone Kama mnatulisha nyie
Statistics za nini wewe angalia Kenya ukiona wakenya wanaenda chooni Mara moja kwa week ujue hiyo ndiyo statistic yenyewe
Send by APOLO 1