Rais Uhuru Kenyatta atoa amri ya kufungwa kwa boda ya Kenya-Tanzania na Kenya-Somalia kwa siku thelathini

Kichekesho ni kwamba baada ya siku 30 Kenya itakuwa na wagonjwa Wengi zaidi na vifo kibao pamoja na njaa na gasia mitaani hakuna cha maana mtakacho gain

Send by APOLO 1
 
Kichekesho ni kwamba baada ya siku 30 Kenya itakuwa na wagonjwa Wengi zaidi na vifo kibao pamoja na njaa na gasia mitaani hakuna cha maana mtakacho gain

Send by APOLO 1
bado tunasubiri mwakani sista, hatujasahau.....
cc MK254
 
Msije sema mm ni mtume ndani ya hizo siku 30 na baada ya hizo siku 30 korona itaongezeka Kenya njaa machafuko ,wizi ,na umasikini utakuwa mkubwa sana.

Send by APOLO 1
 
Hujui joto la jiwe ndiye msemaji mkuu wa serikali ya Tanzania?
Ndiyo ,na mtabiri wa serikali ya tz ndiyo mm sasa sikia utabiri wangu kuhusu hizo siku 30 za Kenya
1) wagonjwa Wataongezeka
2) Njaa itasababisha gasia mitaani na machafuko
3) wakenya wata sema mbona tz inaishi na korona bila matatizo

Send by APOLO 1
 
Tutashukuru sana border ya Kenya na Corona ikifungwa kabisa.
Acha kumsimanga rafiki yetu korona amesha tuzoea watz ole wenu wakenya korona ni adui yenu

Send by APOLO 1
 
Jaribu kuleta statistics ili uaminike. Kuongea tu maneno maneno bila evidence sio convincing. Vipi uchumi wa middle income utasimama eti kwa sababu TZ ambayo inaconsist of less than 10% of Kenya's food supply, border yake imefungwa?
Statistics za nini wewe angalia Kenya ukiona wakenya wanaenda chooni Mara moja kwa week ujue hiyo ndiyo statistic yenyewe

Send by APOLO 1
 
Mtapima kutumia nini? Ama zile tests zenu za kupima mbuzi?
Tutawapima kwa kutumia kipimo kipya tunacho taka kukijaribu kwa madereva wenu tunawadunga sindano za ng'ombe hadi matako yaumuke kama Aisha mashauzi

Send by APOLO 1
 
Ni lini uliskia tumepima mbuzi Kenya?
Haya sasa saidieni hawa ndugu zenyu wanaonyanyaswa huko Zambia. This time round lazima mjue Tanzania is just like Burundi. Hamna power nor respect to earn.

Zambia njaa maafisa wananjaa wanasumbua madereva wetu kwa kutaka msosi ,ndiyo tunalalamika

Send by APOLO 1
 
Tutawapima kwa kutumia kipimo kipya tunacho taka kukijaribu kwa madereva wenu tunawadunga sindano za ng'ombe hadi matako yaumuke kama Aisha mashauzi

Send by APOLO 1
Ujinga at its highest level. There is no injection required when testing for Covid-19. But I won't blame you cause I understand Tanzanian education.
 
Zambia njaa maafisa wananjaa wanasumbua madereva wetu kwa kutaka msosi ,ndiyo tunalalamika

Send by APOLO 1
In Zambia Tanzanians are treated like wild animals. They are not needed close to human beings and they only park their lorries in bushes.
 
Kichekesho ni kwamba baada ya siku 30 Kenya itakuwa na wagonjwa Wengi zaidi na vifo kibao pamoja na njaa na gasia mitaani hakuna cha maana mtakacho gain

Send by APOLO 1
Chakula bla bla bla!! Wake up buana

We na shetani hamna tofauti, always wishing bad to others.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanatutegemea sana hawa.....ndio maana hutaskia povu wakifungiwa na jirani yeyote mwingine....ila sisi tukigusa kidogo wanang'aka balaa.
Mbona hamna hii hasira wakati zambia ilifunga mipaka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaitunishia misuli Kenya, ila wanafahamu vizuri tatizo lipo wapi na kwamba walichemsha walipoingiza ubabe dhidi 'kaugonjwa kadogo ka corona'. Kilichosalia ni kujaribu kuficha 'body language' yao lakini dalili nazo, za hisia zao halisi, tunaziona vizuri sanaaa. [emoji1]
 
nani anamtunishia msuli mbuzi mwenzie[emoji23][emoji23][emoji23]

hapa mtacheza mchike mziki mliouwasha wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…