Rais Uhuru Kenyatta atoa amri ya kufungwa kwa boda ya Kenya-Tanzania na Kenya-Somalia kwa siku thelathini

Mbona unawapiga vijembe
chadema mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usafir
Sisi Kama Tanzania tunalishaa Kenya,tukifunga mpaka watakufa. Wacha tuone Kama mnatulisha nyie
Usafirishaji wa bidhaa kati ya Tanzania na Kenya utaendelea, madreva watapimwa kabla ya kuvuka mpaka. Waliopositive hawatasruhusiwa kuvuka na walionegàtive watavuka. Mtu akiwa positive mmiliki wa Lori anatafuta dreva mwingine anavusha mzigo. Utaratibu huu utawahusu pia madreva wanaoleta bidhaa tanzania toka kenya! Ni upanga ukatao kuwili na ni utaratibu mzuri tu.
Kama huu utaratibu una tija tutaona mrejesho Worldometer!
 
Hahahaha statistics anayoona kwa macho yake haiamini mpaka aone imeandaliwa na wazungu c unajua tena ukiwa na mawazo ya kitumwa inapelekea mpaka unajidharau mwenyew kwa kumuona mzungu ni bora sana
Statistics za nini wewe angalia Kenya ukiona wakenya wanaenda chooni Mara moja kwa week ujue hiyo ndiyo statistic yenyewe

Send by APOLO 1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…