Rais Uhuru Kenyatta atoa amri ya kufungwa kwa boda ya Kenya-Tanzania na Kenya-Somalia kwa siku thelathini

Halafu mnaendelea kukua masikini wa kutupwa kwa wote., both EAC na SADC., tafadhali fafanua hilo kaka., si Tanzania is a dead state then?., yaani ni kama ukichanganya ujinga, upumbavu, punguani, uwendazimu na uzembe iwe supu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kama wao ni vidume wafunge mpaka mazima kama watamudu kukaa njaa.
tz inalisha takataka zote zinazotuzunguka rwanda, uganda,kenya,malawi,zambia,burundi,congo mpaka sudan wote hawa wanalishwa na ardhi ya tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini wasiseme tunazuia vyote watake mizigo? Hakuna Mtanzania anakuja Kenya zaidi ya mwezi zaidi ya madereva wa malori.Hata mtoto mdogo wa Kenya atashangaa kusikia kuwa bado mnataka mizigo toka Tanzania.Poor you! You na not even produce food enough to feed your people

Sent using Jamii Forums mobile app
 
That's why we call you stupid, four years consecutively prior to last year, we were dominating the business, and this year we are going back to our position.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dominating wapi?., weka data hapa wacha brah brah zako mwana ccm., hamuwezi hata tukilala miaka kumi., mko hovyo kishenzi, linchi likubwa watu wamefinywa na kubebwa ujinga na serikali bandia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23], wacha nikucheke tu, u like consoling yourself., infact if we close the border completely you will overtake Nigeria and become a nation with more poverty stricken populace in the world, I read Nigeria overtook India., in the list where Tz leads in both EAC na SADC., yaani nyie ni dead state, apart from a few clever businessmen who buy harvest from farmers at throw away pice na kuuza Kenya na kwingineko, huku tukiyanunua na kutengeneza faida zaidi, wewe ni among slum dwellers pale Dar haujui chochote, I can read poverty mentality in between the lines of your narrative, ni ushabiki wa kishenzi tu uko nayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamawana forgets that no Tanzanian passenger has ever visited Kenya for the past one month.He wants just food to be imported to hungry kenya.Yes,we are here to help you!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duu hatari sana..haya mawazo yako Mungu akusimamie kwakweli akupe upeo wakufikiri kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamawana forgets that no Tanzanian passenger has ever visited Kenya for the past one month.He wants just food to be imported to hungry kenya.Yes,we are here to help you!

Sent using Jamii Forums mobile app
Jisaidie kwanza., hamna chochote, tunawasaidia kwa kuwapa soko., tumewahurumia uchumi wenu usiporomoke, it is delicate coz is not sufficiently diversified., na nimeona ni desturi dunia nzima gari za mizigo na ndege zunaruhusiwa kuvuka borders, si jambo jipya, maybe hauna taarifa mwana ccm, sioni issue hapa., wewe umeshikwa na kinyongo tu., ni chuki unayo kwa Kenya., pole kaka mtafika tu, ila mkitoa ujinga katika kuendesha nchi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namba zenyewe natumai hazipikwi
tupike ili nani ale,mkenya au WHO??

nyinyi wenzetu ndio tunashangaa mnaongezeka daily,na mnafurahi kabisa kuongeza juhudi katika vipimo badala kuongeza juhudi katika tahadhari na kujikinga.

wakati tz polisi wanakamata wasiovaa barakoa leo asubuhi,kenya hali ni tofauti nimeona majobless wakimwandama afisa wa serikali aliyelewa wanamvua na barakoa yake[emoji23][emoji23]bila wasi wasi yaani.

halafu maambukizi yakiongezeka mnataja madereva wa tz,wacheni corona itawafundisha maana neno UNAFIKI,ni nini.
 
wakifunga mipaka na wafunge lkn wasianze kusema tanzania ni chanzo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyewaambia nyie washamba kwamba cargo kutoka Kenya haziingi Tz ni nani? Tena Kenya inauza bidhaa nyingi Tanzania zaidi ya inazonunua, alafu bidhaa zenyewe ni kutoka kwa viwanda. Deficit kati ya Kenya-Tanzania ilikula kwenu kwa 'tune' ya $35.7million mwaka jana! Endeleeni na propaganda zenu za kilumumba, wakati kumeza madawa tu na hata sabuni za kuoga huwa lazima muone 'Proudly Made in Kenya'.
 
Kwani anafunga mipaka kupigana na TZ au covid?

Madereva weshaambiwa watapimwa wakiwa negative wataruhusiwa.

Tunahitaji biashara ya chakula na Kenya iendelee maana hakuna utalii kabisa. Tunawahitaji na wanatuhitaji.

Aya unayozungumza ni kama ule ushindani wa watoto wakigombania gari linalopita barabarani kuwa ni la baba yake
 
Stupid.
Huwazi hata wakulima waliopo Arusha na jamii nzima baada ya biashara ya utalii kudorora basi angalau wana soko la chakula nje? Badala ufurahi kuwa Kenya imeendelea kufanya biashara na sisi unajitutumua. Kwani sisi hatuna bidhaa tunaagiza kutoka Kenya? Pita madukani embu.
 
From 2013 to 2018, Tanzania was enjoying positive balance of trade with Kenya, only last year is when Kenya sold more to Tanzania with excess of $35M, do you want evidence?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kesho..
Kesho..
Kutokea chato, mwamba wa africa mashariki utazungumza na dunia..
weka masikio yako vizuri, maswali yenu majibu yenu yatajibiwa..
stay tuned

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania kwa miaka mitatu mfululizo tumekua tukiuza zaidi Kenya kuliko Kenya ilivyokua inauza Tanzania, tena kwa gap kubwa, ni mwaka Jana pekee ndio Kenya iliuza bidhaa zaidi Tanzania, lakini kwa gap dogo sana, hii ni kwa sababu chakula kingi Tanzania tuliuza kusini mwa Afrika, hatukuwauzia wakenya.

Kwa ujumla Kenya mnauza bidhaa chache sana Tanzania, tena sio bidhaa muhimu, hata zisipokuja hakuna mtanzania atagundua kwamba kuna upungufu wa bidhaa, Ila Tanzania tunawauzia bidhaa muhimu, tukisimamisha kuzileta, kila mkenya atajua kwamba " something is wrong".
Tanzania trade with Kenya turns into deficit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kauli za kinyonge ni kama hizi hapa kutoka kwa 'Phd holder'. Hizi za boda kufungwa ni aftermath tu, kutoka kwa kashetani kwa jina COVID-19.
Hungry Kenyans you are allowed to come and feed your selves.The world knows you as people who can't think on your selves.You just copy and peste,you love to be like wazungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…