Rais Uhuru Kenyatta awasili Arusha kuhudhuria kongamano la marais wa EAC



Uhuru akiwa huko kakamega hawezi kua free kama hivi,lazima tungeona vifaru nyuma yake
 
Mtafaidika vipi ikiwa serikali yenu wenyewe haiamini magari yanayotengenezwa Kenya, ni mwendawazimu pekee ndiye atakayenunua hayo MAGARI.

Sent using Jamii Forums mobile app
2016 assembly plant za Kenya ziliuza magari 10,000 ! Wanatarajia by 2020 assembly plant zitakua zinauza angalau 15k ..... Karibia 70% ya hayo magari huuzwa Kenya, tukianza pickup karibu zote za Polisi hua ni assembled locally , pia mabasi ya shule za public huwa hawaruhusiwi Ku import finished product, alafu saloon cars hua ni kama 5,000 kila mwaka zinauza wananchi,... Over to you
 
Kenyatta akiwa Tanzania anakua salama kuliko akiwa Nairobi
Kuna state visit atafanya soon,we tulia hapo Ngong hills,ukisubiri Al shabab wafanye yao
Kenya imepokea Marais wengi kuliko Tz so we tulia hapo kijiweni usubiri uni wa mtama
 
View attachment 1012482
View attachment 1012486
Uhuru akiwa huko kakamega hawezi kua free kama hivi,lazima tungeona vifaru nyuma yake
Angalia hilo bango la "one border post" Liko na seal ya serekali ya Kenya kumaanisha plhio picha ilichukuliwa upande wa Kenya hapo Kwa mpaka....


Rais Uhuru Kenyatta huwa Yuko free Sana siku zote akiwa ndani ya Kenya
Alikua anahutubia kila mji aliopitia akiwa ndani ya Kenya alipokua anarudi Nairobi, Hadi miji miengine alihotubia kukiwa na Giza

https://www.facebook.com/
 
Jana wamarekani wamesema kenya itashambuliwa tena
 
Jana wamarekani wamesema kenya itashambuliwa tena
wamekua wakisema hivyo tangu 2013... Cha kushangaza ni wamarekani wamezidi kuongezeka hadi ndo wanaongoza kwa kuchangia wageni wa utalii hapa kenya kuanzia 2016......

picha zaidi za Rais alipokua anarudi Nairobi ---- Maisha yetu na tabia zetu hazitageuka kwasababu ya alshabaab











Ukiangalia waliomzunguka rais, hautaona hata bunduki moja, ni masuti

 
Wewe kawaida yako ni kuropoka, lete ushahidi wa hizi statistics, lete ushahidi kwamba school buses haziwi imported wakati 90% ni DCM toka Japan.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…