Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,373
- 6,084
Baada ya Rais Uhuru Kenyatta kuingia madarakani nilitegemea afuate nyayo za Mzee Jomo Kenyatta lakini kwasababu zifuatazo ameonyesha ni Dhaifu sana.
1. Kwa kuipeleka Kenya kwenye utawala wa udikteta.
2. Kuingiza Umoja waKenya kwenye matatizo baada ya kushindwa kuondoa tatizo la ugavi wa fedha kwenda kwenye kaunti.
3. Kuidharau Mahakama pamoja na Jaji Mkuu Maraga.
4. Kuwaweka waKenya kwenye maisha magumu wakati wa Cov19.
5. Kuiua chama cha Jubilee kilichomweka madarakani.
6. Kushindwa kusimamia watendaji wake ipasavyo mpaka kufikia Makamu wa Rais Ruto kudharauliwa na Waziri Matiangi na Katibu Mkuu wa Kibicho.
7. Kufanya muafaka na kiongozi wa upinzani Raila Odinga bila baraka ya viongozi waandamizi wa Jubilee akiwemo Makamu wake.
8. Kuipa wakati mgumu Jubilee katika uchaguzi wa 2022
9. Kuwa na matumizi mabaya ya kodi ya serikali ikiwemo fedha za matumizi ya Cov19.
Wakenya ni wakati wenu kukaa na kutafakari kupata kiongozi mpya 2022 kutoka kwenye kizazi kipya sio Raila, Ruto wala Gideon Moi.