Rais Uhuru na rais Biden wa Marekani wapigiana simu na kujadili mambo muhimu kuhusu ukanda huu

Rais Uhuru na rais Biden wa Marekani wapigiana simu na kujadili mambo muhimu kuhusu ukanda huu

Wooow! Kwa hiyo wakenya wanasubiri waamerika ndiyo waje wawatengenezee uchumi wao. Mmmh! Watasubiri sana. Amerika yenyewe inakufa kiuchumi sembuse kuwatengenezea wakenya uchumi wao?
Wajerumani wanamsemo wao, " Wer's glaubt wird seelig!" (Whoever believes will be saved)

Wakenya amkeni na tuungane ili tuwe kitu kimoja acheni uzungu wenu unao wagawa ni sisi wenyewe peke yetu ndiyo tunao weza leta maendeleo ya kweli kwa wananchi wetu. Na sio Mwamerika au Mwingereza wala mchina wanauwezo huo.

Uchumi wetu ni mara mbili yenu, halafu hamjui English, wazembe sana nyie GODZILLA
 
Hawajakubaliana tu lini hizo unrecylable plastics zikuje kenya
 
Back
Top Bottom