Wooow! Kwa hiyo wakenya wanasubiri waamerika ndiyo waje wawatengenezee uchumi wao. Mmmh! Watasubiri sana. Amerika yenyewe inakufa kiuchumi sembuse kuwatengenezea wakenya uchumi wao?
Wajerumani wanamsemo wao, " Wer's glaubt wird seelig!" (Whoever believes will be saved)
Wakenya amkeni na tuungane ili tuwe kitu kimoja acheni uzungu wenu unao wagawa ni sisi wenyewe peke yetu ndiyo tunao weza leta maendeleo ya kweli kwa wananchi wetu. Na sio Mwamerika au Mwingereza wala mchina wanauwezo huo.