#COVID19 Rais ulifanya makosa makubwa kuifanya chanjo kuwa hiari, ulipaswa kukubaliana na Mbowe kuwa chanjo lazima ili tuweze kupambana na Gwajima

Mfano tukiambiwa uzazi wa mpango ni lazima kila mwanaume wa miaka 40 kwenda juu afanyiwe "vasectomy" ili asiwe na mbegu zinazoweza kutunga mimba ili watu wasizaliane hovyo itakuwa sawa ?

Masuala ya afya siku zote ni hiari ! Ukileta mlango wa kulazimishana ndio unatengeneza udikteta Acha Gwajima na wafuasi wake tuparuane nao humu humu kwa hoja🤣
 
I SECOND YOU......
 
Wee mpuuzi nini.. yaani watu wachanjwe kwa lazima?
 
SASA KWANINI TUNAPAMBANA NA NGWAJIMA WAKATI TUNAJUA KABISA CHANJO NI HIARI DUNIANI KOTE.........
Hatupambani na Gwajima kuipinga chanjo......

Tunapambana na GWAJIMA kwa kuhamasisha watu WASICHANJWE bila ya kuwa na "rejea" za kisayansi na kutumia "conspiracy theories" KUUAMINISHA UMMA kuwa VIONGOZI WA NCHI wamehongwa na "mabeberu"ili CHANJO iingizwe hapa nchini....

Kwa hiyo Gwajima ana ushahidi kuwa viongozi wa nchi wamehongwa PESA NA MABEBERU?!!

😲😲😲These are serious ALLEGATIONS......
 
Wa ajabu Sana wewe, yaani ulazimishe wananchi kuchanjwa halafu Serikali hiyo inasema haitahusika na madhara utakayopata.

Kama ikiwa lazima kuchanjwa ile consent form I we kuwa,mtu akipata madhara serikali itafidia.
 
Lijinga lingine hil hapa...we usilete habar za akina kingwangala wale waliokosa misimamo,kila siku anabadirika kulingana na upepo, na ndyo ninyi pia mtabadirika pale madhara yakianza kujitokeza muanze kubishia hata haya mnayoyaandika leo hii.....
 
Tanngu huyo bwana yako aanze kukudunga chanjo unabadiliko gani zaidi ya kujaza kalio?
 
Mnataka kumdanganya Rais ninyi ili mmpoteze kabisa.
 
Ukichanjwa on your own risk. In case of any negative results.
 
Yaani nyie wafuasi wa Mbowe kila kitu akisema Mbowe mnataka watu wote wafuate daaah mlivyoshikiwa akili na mbowe mnadhani wote wapo hivyo chanjo ni hiari dunia nzima.
 
Madhara ya chanjo ni nani atayabeba? Umelifikiria hilo?
 
We nenda kachanje na familia yako,jilani yako asipoenda usiumie kausha mkuu.kila mmoja atapata majibu na maamuzi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…