Rais Volodomir Zelensky wa Ukraine akimbilia Vatican kwa Papa

Rais Volodomir Zelensky wa Ukraine akimbilia Vatican kwa Papa

Rais wa Ukraine Volodomir Zelensky amekwenda Italy ambapo atakutana na waziri mkuu wa Italia kwa mazungumzo na hatimaye kuitimisha ziara yake kwa kuonana na Papa Francis jijini Vatican ambapo anatarajiwa kuomba ushawishi wa papa kwa Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya vita nchini Ukraine.
View attachment 2620630
Kaenda kwa mwenye vita yake,,

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kamuaibishaje wakati anasaidiwa na USA na ulaya yote,Putin anapigana na nchi 50
Wewe na ukoo wenu mngesaidiwa silaha mngeweza kupigana!!! hakuna majeshi ya nje upande wa Ukraine wanasaidiwa silaha na mafunzo kupigana wanapigana wenyewe. Ingekuwa NATO imepeleka majeshi yake saa hz Putin angekuwa amejiua kama Hitler. Mijitu mizima inashabikia uvamizi wa nchi ya watu kama vile mpira wa premier league wkt kuna innocent people wanakufa.
 
Kamuaibishaje wakati anasaidiwa na USA na ulaya yote,Putin anapigana na nchi 50
Kutosurrender mbele ya Nyuklia ni ujasiri mkubwa sana.Kumbuka kauli ya kwanza ya Putin February 2022 alisema wanajeshi wa Ukraine waweke silaha chini kwa usalama wao.Vijana wa Ukraine wapo waliochagua kukimbia na wapo waliochagua kupambana kama yule dogo aliyekuwa anatuma coordinate za walipo warusi Bucha.Putin na Urusi imepata hasara ambayo haikuwa tarajiwa lakini kwa kuwa kushindwa hii vita ni aibu kubwa sana kwa Urusi ndio maana Putin anaendelea kulazimisha ushindi huku akipata loss
 
Back
Top Bottom