Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Afrika Kusini inafuatilia kesi dhidi ya Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki mjini The Hague, ikiishutumu Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki huko Gaza leo wameumbuliwa mchana kweupe!!
Rais Trump aliweka mtego kumuumbua rais wa Afrika Kusini, ambaye alikutana naye jioni ya leo katika Ikulu ya White House. Wakati wa mkutano huo, aliamuru msururu wa video kuonyeshwa kwenye skrini, zikiwa na Waafrika Kusini Weusi wakitoa wito wa mauaji ya raia weupe.
Rais wa Afrika Kusini alikiona kiti chake cha moto na hakuwa na raha kwenye kiti chake hicho
Sisi wamatumbi kuna msemo "NYANI HAONI KUNDULE" Afrika kusini ilikosea sana kuishitàki Israel kwa mauaji ya kimbari huko Gaza wakati nchi hiyo inahamasisha kuua wazungu na nchi hiyo kuua watu wake wenyewe kwenye migodi yake.
Afrika kusini imeonyesha UNAFIKI mkubwa sana katika kesi hiyo ambayo haina mashiko yoyote ambayo inaiaibisha Afrika kusini na viongozi wale