Kwaiyo baada ya kutoa mwito raia weupe wauwawe wakauwawa kweli au ilikuwa ni Maandamano tu!!!????Afrika Kusini inafuatilia kesi dhidi ya Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki mjini The Hague, ikiishutumu Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki huko Gaza leo wameumbuliwa mchana kweupe!!
Rais Trump aliweka mtego kumuumbua rais wa Afrika Kusini, ambaye alikutana naye jioni ya leo katika Ikulu ya White House. Wakati wa mkutano huo, aliamuru msururu wa video kuonyeshwa kwenye skrini, zikiwa na Waafrika Kusini Weusi wakitoa wito wa mauaji ya raia weupe.
Rais wa Afrika Kusini alikiona kiti chake cha moto na hakuwa na raha kwenye kiti chake hicho
Sisi wamatumbi kuna msemo "NYANI HAONI KUNDULE" Afrika kusini ilikosea sana kuishitàki Israel kwa mauaji ya kimbari huko Gaza wakati nchi hiyo inahamasisha kuua wazungu na nchi hiyo kuua watu wake wenyewe kwenye migodi yake.
Afrika kusini imeonyesha UNAFIKI mkubwa sana katika kesi hiyo ambayo haina mashiko yoyote ambayo inaiaibisha Afrika kusini na viongozi wale!!
unafiki upo mwingi tu mfano waislamu wanawalilia wapalestina kuuawa halaiki cha ajabu watu wanakufa Sudan,somalia,Kongo,Syria na huko Burkina Faso , Tena mauaji yanafanywa na waislamu wenyewe wenyewe itikadi kaliAfrika Kusini inafuatilia kesi dhidi ya Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki mjini The Hague, ikiishutumu Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki huko Gaza leo wameumbuliwa mchana kweupe!!
Rais Trump aliweka mtego kumuumbua rais wa Afrika Kusini, ambaye alikutana naye jioni ya leo katika Ikulu ya White House. Wakati wa mkutano huo, aliamuru msururu wa video kuonyeshwa kwenye skrini, zikiwa na Waafrika Kusini Weusi wakitoa wito wa mauaji ya raia weupe.
Rais wa Afrika Kusini alikiona kiti chake cha moto na hakuwa na raha kwenye kiti chake hicho
Sisi wamatumbi kuna msemo "NYANI HAONI KUNDULE" Afrika kusini ilikosea sana kuishitàki Israel kwa mauaji ya kimbari huko Gaza wakati nchi hiyo inahamasisha kuua wazungu na nchi hiyo kuua watu wake wenyewe kwenye migodi yake.
Afrika kusini imeonyesha UNAFIKI mkubwa sana katika kesi hiyo ambayo haina mashiko yoyote ambayo inaiaibisha Afrika kusini na viongozi wale!!
Itakuwaje sasa? mimi nataka niwe muislamuunafiki upo mwingi tu mfano waislamu wanawalilia wapalestina kuuawa halaiki cha ajabu watu wanakufa Sudan,somalia,Kongo,Syria na huko Burkina Faso , Tena mauaji yanafanywa na waislamu wenyewe wenyewe itikadi kali
Waislam hasa wa Africa sijawai waelewa. Free Palestinian ni nyingi but hakuna free Sudanese. Pia huwezi waona waarab wakiandamana kutaka vita vya wa Sudan viishe. .unafiki upo mwingi tu mfano waislamu wanawalilia wapalestina kuuawa halaiki cha ajabu watu wanakufa Sudan,somalia,Kongo,Syria na huko Burkina Faso , Tena mauaji yanafanywa na waislamu wenyewe wenyewe itikadi kali
Kwamba wao whites hawakufanya mauaji ya kimbari kwa weusi wa afrika kusini? Huyo nguruwe Trump anayajua mauaji ya Soweto?Afrika Kusini inafuatilia kesi dhidi ya Israel katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki mjini The Hague, ikiishutumu Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki huko Gaza leo wameumbuliwa mchana kweupe!!
Rais Trump aliweka mtego kumuumbua rais wa Afrika Kusini, ambaye alikutana naye jioni ya leo katika Ikulu ya White House. Wakati wa mkutano huo, aliamuru msururu wa video kuonyeshwa kwenye skrini, zikiwa na Waafrika Kusini Weusi wakitoa wito wa mauaji ya raia weupe.
Rais wa Afrika Kusini alikiona kiti chake cha moto na hakuwa na raha kwenye kiti chake hicho
Sisi wamatumbi kuna msemo "NYANI HAONI KUNDULE" Afrika kusini ilikosea sana kuishitàki Israel kwa mauaji ya kimbari huko Gaza wakati nchi hiyo inahamasisha kuua wazungu na nchi hiyo kuua watu wake wenyewe kwenye migodi yake.
Afrika kusini imeonyesha UNAFIKI mkubwa sana katika kesi hiyo ambayo haina mashiko yoyote ambayo inaiaibisha Afrika kusini na viongozi wale!!
Tatizo lako umekurupuka!! Kibaya zaidi hujui hata maana ya Mauaji ya kimbari!!!Kwamba wao whites hawakufanya mauaji ya kimbari kwa weusi wa afrika kusini? Huyo nguruwe Trump anayajua mauaji ya Soweto?
Anafahamu historia kweli? Kati ya weusi na weupe ni race ipi imefanya mauaji ya kimbari kwa mwenzake?