Rais wa Armenia apata Bahati ya kipekee kuonana na Dkt Tulia Rais wa IPU

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wa Armenia ameonyesha kufurahia sana na kutabasamu pale alipopata bahati ya kuonana na Rais wa umoja wa Mabunge Duniani Mheshimiwa Daktari Tulia Ackson Mwansasu aliyekuwa Armenia kuongoza vikao vizito sana.

Ikumbukwe ya Kuwa ni miezi michache tu Dkt Tulia aliweza kuonana na Rais wa Urussi Viladimiri Putin katika kutafuta suluhu na kumaliza vita vya ukrein,ambapo Masuala mbalimbali yaliweza kuzungumzwa kati ya wawili hao .

Ambapo Rais wa Urussi alionyesha kufurahishwa na kushangazwa sana na uwezo mkubwa sana wa kiakili alionao Dkt Tulia,Ambaye ndio speaker Msomi wa sheria na ambaye amekuwa msaada mkubwa sana Bungeni katika Masuala ya kisheria na ambaye CHADEMA wakisikia tu jina lake wanachanganyikiwa kwelikweli, kutokana na kuelewa umahiri wake katika sheria.

Nawakumbusheni tu yakuwa Dkt Tulia ndio Mwanamke wa kwanza kutokea Barani Afrika kuongoza IPU kama RAIS wake.

Hata hivyo ushindi wake huwezi kuutenganisha na juhudi kubwa na ushawishi wa kipekee wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,ambaye alitoa baraka kwa Dkt Tulia na kufanya kazi kubwa sana kuhakikisha anapita kwa kishindoo.

Soma Pia: Dkt. Tulia Ackson akutana na Rais Putin kujadiliana namna bora ya kuimarisha amani duniani

Kumbukeni ya kuwa Rais Samia ni miongoni Mwa Wanawake 100 wenye ushawishi zaidi Duniani kwa sasa na ambaye anafuatiliwa na kukubalika sana.Ndio sababu kwa ushawishi wake ikapelekea hata Dkt Ndugulile kushinda kwa kishindo ukurugenzi wa WHO kanda ya Afrika baada ya kuwa amepata baraka za Rais wetu mpendwa na kupeleka timu kabambe ya kampeni kumnadi .

Hii ndio sababu hata Raila Odinga kwa kutambua ushawishi alionao Mama yetu aliona na kumuomba kumuunga mkono huko AU.ambapo Mama alifika Kenya na kupokelewa kishujaa

Screenshot_20240913-200450_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Muwe mnamwambia awe ana vaa walao kwa mwonekano unaolingana na hadhi yake.
 
Huna akili njema.The certified insane
 
Rais wa Armenia kapata nini??

We kweli ni mtu ya hovyo sana
 
Namuona rais wa Armenia akibubujikwa na machozi
Tanzania tunaendelea kufanya vyema sana kimataifa.kwa hakika Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ameifungua nchi yetu na kuiheshimisha kwa kuipeleka anga la kimataifa
 
Hahaaaa...endelea kupambana ipo siku wenye Dola watakuona.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wa Armenia ameonyesha kufurahia sana na kutabasamu pale alipopata bahati ya kuonana na Rais wa umoja wa Mabunge Duniani Mheshimiwa Daktari Tulia Ackson Mwansasu aliyekuwa Armenia kuongoza vikao vizito sana.

Ikumbukwe ya Kuwa ni miezi michache tu Dkt Tulia aliweza kuonana na Rais wa Urussi Viladimiri Putin katika kutafuta suluhu na kumaliza vita vya ukrein,ambapo Masuala mbalimbali yaliweza kuzungumzwa kati ya wawili hao .

Ambapo Rais wa Urussi alionyesha kufurahishwa na kushangazwa sana na uwezo mkubwa sana wa kiakili alionao Dkt Tulia,Ambaye ndio speaker Msomi wa sheria na ambaye amekuwa msaada mkubwa sana Bungeni katika Masuala ya kisheria na ambaye CHADEMA wakisikia tu jina lake wanachanganyikiwa kwelikweli, kutokana na kuelewa umahiri wake katika sheria.

Nawakumbusheni tu yakuwa Dkt Tulia ndio Mwanamke wa kwanza kutokea Barani Afrika kuongoza IPU kama RAIS wake.

Hata hivyo ushindi wake huwezi kuutenganisha na juhudi kubwa na ushawishi wa kipekee wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,ambaye alitoa baraka kwa Dkt Tulia na kufanya kazi kubwa sana kuhakikisha anapita kwa kishindoo.

Soma Pia: Dkt. Tulia Ackson akutana na Rais Putin kujadiliana namna bora ya kuimarisha amani duniani

Kumbukeni ya kuwa Rais Samia ni miongoni Mwa Wanawake 100 wenye ushawishi zaidi Duniani kwa sasa na ambaye anafuatiliwa na kukubalika sana.Ndio sababu kwa ushawishi wake ikapelekea hata Dkt Ndugulile kushinda kwa kishindo ukurugenzi wa WHO kanda ya Afrika baada ya kuwa amepata baraka za Rais wetu mpendwa na kupeleka timu kabambe ya kampeni kumnadi .

Hii ndio sababu hata Raila Odinga kwa kutambua ushawishi alionao Mama yetu aliona na kumuomba kumuunga mkono huko AU.ambapo Mama alifika Kenya na kupokelewa kishujaa

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Chawa pro max in the mix 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom