Rais wa Armenia apata Bahati ya kipekee kuonana na Dkt Tulia Rais wa IPU

Rais wa Armenia apata Bahati ya kipekee kuonana na Dkt Tulia Rais wa IPU

aiseh kuna vitu vinafurahisha sana humu jf

kuonana na tulia ni bahati ya kipekee kweli 😀
 
aiseh kuna vitu vinafurahisha sana humu jf

kuonana na tulia ni bahati ya kipekee kweli 😀
Nakukumbusha kuwa Dkt Tulia ni Rais wa IPU.ndio maana unaona aliweza kuonana na kufanya mazungumzo mazito mezani na Rais wa Urussi.
 
SPIKA WA BUNGE LA SERIKALI.Hv hakuna namna ya kufikisha lalamiko la utekaji na mauaji bunge la dunia ili huyo mtetea utekaji apigwe chini ipu
 
2Dn6.gif
 
MWENZAKO ANAMCHEKA WE UNASEMA AMEFURAHIA??

#Rango
 
Viwango vyako ni vya kipekee sn🤣🤣🤣duh! Hebu rudia kuangalia picha hapo utajua nani alipata bahati ya kipekee sana kukutana na mwenzake,TUPUMZISHE HATA WEEK WE CHAWA😇😇😇🙌
 
Screenshot_20240914-062439~2.png

Screenshot_20240914-062531~2.png

Umeandika Title yako Kishamba sana.

Utakayemwoa sijui utakuwa unamkulaje?
 
Back
Top Bottom