johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hivi neno "Maendeleo" unalitafsiri vipi?Baada ya kulivunja maendeleo yalipatikana?
Kutoka point moja kwenda nyingineHivi neno "Maendeleo" unalitafsiri vp?
Kuna standard procedure, usipozifuata ndiyo ya Jiwe ameacha amevuruga kila kitu......Sio laxima mama samia avunje baraza la mawaziri kila mmoja anautashi wake
Sana.Baada ya kulivunja maendeleo yalipatikana?
Alhamis ndio utajua kama hii ni awamu ya 5 au 6!Sio laxima mama samia avunje baraza la mawaziri kila mmoja anautashi wake
Sasa baada ya kupatikana hayo maendeleo baadae yakapotelea wapi? mkuu naona kama vile posho wamekamilisha kukulipa huwadai tena mwez wa 3.Sana.
Wewe ulikuwa hujafikiriwa kuzaliwa wakati huo!
Alikuwa Waryoba aliyeuliza akiwa waziri mkuu wakati huo ni katika kuweka rekodi sawa tu.Najikumbusha tu ujasiri wa Rais wa awamu ya pili mh Ali Hassan Mwinyi ( Ruksa)
Profesa Kighoma Malima akauliza " mh Rais hata mimi simo?"
Rais akamjibu "Kwani wewe ni nani? "
Ramadhan Kareem!
Alikuwa Waryoba aliyeuliza akiwa waziri mkuu wakati huo ni katika kuweka rekodi sawa tu.
Baada ya kulivunja maendeleo yalipatikana kwa kufufua uchumi uliokufa enzi za mtangulizi wake. Bidhaa dukani zilijaa kama vile unga, sukari, mchele, ngano, mafuta ya taa na ya kupikia, sabuni za kuogea na kufulia. Maduka makubwa nayo hayakuwa nyuma watu wakaanza kuingiza TV, Redio na vitu mbali mbali vinavyotumia umeme. Pia magari ya kila aina yakaanza kuingia kwa wingi yakiwemo mabasi ya abiria, barabara zikapanuliwa kutokana na mahitaji ya kipindi kile, moja ya barabara na alama aliyoacha Mwinyi ni hii ya morogoro road ambapo lile daraja la manzese lilijengwa wakati wa utawala wake, shule za serikali ziliongezeka, na za binafsi pia zikajengwa kwa wingi, nguo za mitumba na dukani zikaanza kuingia kwa wingi hata ww leo unavaa kiatu kizuri, jinsi zuri na unaenda kunyoa salon kwa mashine, hizo ni juhudi za Mwinyi ktk kuwaletea maendeleo raia wake. hapo sijataja hospital nyingi za serikali na private zilizojengwa kwa wingi chini ya utawala wake including madawa nk. Hela zikaanza kupatikana kwa wingi mitaani hata wauza miwa, machungwa, mihogo, samaki na chips mitaani nao walijenga. Hakika Mwinyi ameifanyia mengi ya kiutu nchi hii, na alikuwa na uwezo wa kuthubutu bila kujali nani anasema nini.Baada ya kulivunja maendeleo yalipatikana?
Mkuu umemaliza kila kituBaada ya kulivunja maendeleo yalipatikana kwa kufufua uchumi uliokufa enzi za mtangulizi wake. Badhaa dukani zilijaa kama vile unga, sukari, mchele, ngano, mafuta ya taa na ya kupikia, sabuni za kuogea na kufulia. Maduka makubwa nayo hayakuwa nyuma watu wakaanza kuingiza TV, Redio na vitu mbali mbali vinavyotumia umeme. Pia magari ya kila aina hakaanza kuingia kwa wingi yakiwemo mabasi ya abiria, barabara zikapanuliwa kutokana na mahitaji ya kipindi kile, moja ya barabara na alama aliyoacha Mwinyi ni hii ya morogoro road ambapo lile daraja la manzese lilijengwa wakati wa utawala wake, shule za serikali ziliongezeka, na za binafsi pia zikajengwa kwa wingi, nguo za mitumba na dukani zikaanza kuingia kwa wingi hata ww leo unavaa kiatu kizuri, jinsi zuri na unaenda kunyoa salon kwa mashine hizo ni juhudi za Mwinyi ktk kuwaletea maendeleo raia wake. hapo sijataja hospital nyingi za serikali na private zilizojengwa kwa wingi chini ya utawala wake including madawa nk. Hakika Mwinyi ameifanyia mengi ya kiutu nchi hii, na alikuwa na uwezo wa kuthubutu bila kujali nani anasema nini
Swali alilouliza huyo jamaa jibu analo mwenyew, ila kuna kitu kimemsukuma kuuliza. Sasa kwa vile mimi nimeelewa sabab ya kuuliza kwake basi nimemjibu moja kwa moja huko chiniHivi neno "Maendeleo" unalitafsiri vipi?
Asante mkuuMkuu umemaliza kila kitu
Asante mkuuMkuu umemaliza kila kitu
Kabla halijavunjwa maendeleo yalikuwepo?Baada ya kulivunja maendeleo yalipatikana?
Kazi yake ilikuwa NDOGO SANA YAANI "KILA KITU RUKSA"....Baada ya kulivunja maendeleo yalipatikana kwa kufufua uchumi uliokufa enzi za mtangulizi wake. Badhaa dukani zilijaa kama vile unga, sukari, mchele, ngano, mafuta ya taa na ya kupikia, sabuni za kuogea na kufulia. Maduka makubwa nayo hayakuwa nyuma watu wakaanza kuingiza TV, Redio na vitu mbali mbali vinavyotumia umeme. Pia magari ya kila aina hakaanza kuingia kwa wingi yakiwemo mabasi ya abiria, barabara zikapanuliwa kutokana na mahitaji ya kipindi kile, moja ya barabara na alama aliyoacha Mwinyi ni hii ya morogoro road ambapo lile daraja la manzese lilijengwa wakati wa utawala wake, shule za serikali ziliongezeka, na za binafsi pia zikajengwa kwa wingi, nguo za mitumba na dukani zikaanza kuingia kwa wingi hata ww leo unavaa kiatu kizuri, jinsi zuri na unaenda kunyoa salon kwa mashine hizo ni juhudi za Mwinyi ktk kuwaletea maendeleo raia wake. hapo sijataja hospital nyingi za serikali na private zilizojengwa kwa wingi chini ya utawala wake including madawa nk. Hakika Mwinyi ameifanyia mengi ya kiutu nchi hii, na alikuwa na uwezo wa kuthubutu bila kujali nani anasema nini