Rais wa Barcelona atoa tamko

Rais wa Barcelona atoa tamko

Maskini coutinho kapishana na ndoo [emoji27] [emoji27] [emoji27]
 
[QUOTENATO ctoire, post: 26631272, member: 11226"]Barca ilikuwa ya kina Etoo,Ronaldinho,Kluivert bwana.Kina Iniesta washazeeka sasa.Nakumbuka île Barça ya mwaka 2006 iliyowafunga Arsenal pale Stade de France jijini Paris.[/QUOTE]
Bebwa nayo hiyo.
 
View attachment 741098

Rais wa klabu ya Barcelona Josep Maria Bartomeu amewaomba wachezaji wa Barcelona, mashabiki na makocha kushikamana pamoja baada ya kufungwa na AS Roma na kutupwa nje ya Ligi ya Mabingwa jana usiku.


"Kutolewa kwenye Ligi ya Mabingwa ni mshituko mkali sana kwa mashabiki wote wa Barcelona, lakini sasa ni wakati wa mashabiki, makocha na wachezaji kuwa na umoja zaidi kuliko hapo awali,'' ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter.


Barcelona ambayo kwa msimu wa pili mfululizo imeendolewa kwenye robo fainali na klabu za Italia baada ya msimu uliopita kutolewa na Juventus, jana usiku ilikubali kichapo cha mabao 3-0 hivyo kufanya matokeo ya jumla kuwa 4-4 huku Roma ikiwa na faida ya bao la ugenini kutokana na kupoteza 4-1 nchini Hispania.

Barcelona sasa imefikisha misimu mitatu mfululizo ikitolewa katika hatua ya robo fainali huku wapinzani wao Real Madrid wakiwa wanafukuzia ubingwa wa Ulaya kwa mara ya tatu mfululizo. Ilitolewa na Atletico 2016, Juventus 2017 sasa Roma.


Kiungo mkongwe wa Barcelona Sergio Busquet amesema matokeo hayo yamewaumiza timu nzima kutokana na mipango waliyokuwa wamejiwekea ya kutwaa taji hilo baada ya muda mrefu kupita.


Chanzo: EATV
bebwa bebwa fc wajinga tyuu acha watoke kbsa hawana mpira wwte nje ya La liga na uyo mkojo wa punda mess atajutaaa halla#madrid huyo ndio CR7 goli 14+........ na bado
 
Back
Top Bottom