Binafsi sijasikia mchezaji mpira mwenye kuumwa corona.Corona haichagui Kingunge wala kapuku inacheza kote kote. Muulize Boris Johnson ilivyomfanya kazi MAKEKE yake yote yameisha baada ya covid kumchungulisha kaburi.
Binafsi sijasikia mchezaji mpira mwenye kuumwa corona.
Wewe ni shabiki wa soka la ulaya au hawa kina Zena na Betina (Simba na Yanga).Binafsi sijasikia mchezaji mpira mwenye kuumwa corona.
Kwamba ukiwa unapima ndio hauta ambukiza watu? Dude, what happens to you! uko sawa kweli?
Unapima ugonjwa ambao hauwezi kuutibu wala kuupatia dawa yoyote! for what? Focus kwenye distancing ,wsashing hands na face masks, hiyo kupima won`t save you in anything.
Ukiwa unapima utagundua mapema unacho na kuwaokoa unaohusiana nao kwa kujpiga lockdown
Hapana mie niliacha kushabikia mpira muda kidogo,ndio nauliza mashabiki wa mpira pengine wanajua mchezaji wa mpira mwenye kuumwa corona.Wewe ni shabiki wa soka la ulaya au hawa kina Zena na Betina (Simba na Yanga).
Tanzania hali ya corona ingetakiwa hadi sasa iwe mbaya zaidi kwa kutoshughulikia hili suala kisayansi kama kupima na lockdown.Ukiwa unapima utagundua mapema unacho na kuwaokoa unaohusiana nao kwa kujpiga lockdown
Teh. lockdown how? unaongelea Afrika au Ulaya ndugu? Yani kwa maisha ya kiafrika haya useme ujipige lockdown usiwaambukize wengine? Yani lockdown ya usiku tu ila mchana kujiachia! hahaha
Ndio maana saiv wamesema hawatatangaza tena idadi ya maambukizi kwa siku maana wameshaona ni ujinga tu. Na kupima ndio inaishia hapo.
Unajipiga tu, maana haina haja utoke na kuanza kuambukiza watu huko nje huku ukijua unaumwa, kwani hata kirusi chenyewe kikikulaza kitandani hapatakua na Uafrika wala Ulaya, utashindwa kutoka na kulala siku inaisha.
Teh kwa hiyo wote waliotest positive hapo Kenya wako lockdown? New cases zinatokea wapi sasa na nchi imefungwa hakuna kutoka wala kuingia?
Teh kwa hiyo wote waliotest positive hapo Kenya wako lockdown?Ukitest positive haufai usubiri uambiwe, unatumia akili na kuingia lockdown ili uwalinde uwapendao.
Teh kwa hiyo wote waliotest positive hapo Kenya wako lockdown?
Actually wako karantini, ila wamepona wengi na kudunda mtaani bila kuambukiza.......pima pima pima.
Usipende kuwatafuna machangudoa bila kupima.
Teh kwa hiyo ndio maana machangudoa wanajiuza mchana hapo kwenyu ili waweze kupimwa pimwaa.,,,
Hizo karantini zinazohifadhi watu zaidi ya elfu nane ziko wapi? Nachojua tu kwa sasa hospital zimezidiwa.
Majitu hayajielewi hayo!Kwamba ukiwa unapima ndio hauta ambukiza watu? Dude, what happens to you! uko sawa kweli?
Unapima ugonjwa ambao hauwezi kuutibu wala kuupatia dawa yoyote! for what? Focus kwenye distancing ,wsashing hands na face masks, hiyo kupima won`t save you in anything.