Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
BURKINA FASO PRESIDENT TRAORE BOUGHT 400 TRACTORS INSTEAD OF BUYING EXOTIC CARS. SEE THE REASON.
View: https://www.youtube.com/watch?v=tJqaGdf5OLc&ab_channel=InterVlog
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Roho mbaya maskini tuliojaliwa wa africa kuona anguko la mwingine daah africa aliyeturoga kwa kwel atusamehe et mihemuko mungu akileta viongozi wenye maono wanapigwa spana wataitwa magaid na madikiteta utasikia wanapenda sifa kisa tu atabana wala rushwa na magaidi sasa wew huko bukinafaso wakifeli wew kinakuuma nini utapungukiwa nini utapata kitu gani.....Huyu kijana anauongozi wa mihemuko sana kawaida kwa viongozi wa bala hili la giza
Huyu kijana anauongozi wa mihemuko sana kawaida kwa viongozi wa bala hili la giza
Kwani unafikir ulaya maendeleo yalipatikana kutokana demokrasia wanayoihubir?? Au husomi historia ndugu Afrika inahitaji watu kama kina Gaddafi, Maguful Kagame na makatili wengine tukishaendelea huko mbeleni ndio tutaongelea demokrasi...Alichukua uongozi kijeshi hivyo anaongoza kibabe, kila anachoamua yeye ndio kinafanyika, hawezi akashaurika, ukimbishia unalo.
Madikteta wote huwa na nia nzuri za kizalendo lakini ile kutishaurika au kubishiwa huwa wanaharibu, akiamua kununua mindege hata kama haina tija ananunua tu.
Na hulazimisha kila awe chawa.
Haka kajamaa kaliwatweza sana marais wa afrika ,hakakujua serikali za afrika zinachangamoto hizo
Trekta 400,labda kwajili ya kalima mashamba ya serikali
Aachie madaraka kwa raia ,kashafeliAnatakiwa afanyeje mkuu?
Kwani unafikir ulaya maendeleo yalipatikana kutokana demokrasia wanayoihubir?? Au husomi historia ndugu Afrika inahitaji watu kama kina Gaddafi, Maguful Kagame na makatili wengine tukishaendelea huko mbeleni ndio tutaongelea demokrasi...
ukisikia wachawi ndio hao sasa.kwao akuna jema kila jambo kwao ni baya.kuna watu kila jambo wanapinga
Kabisa, hiyo ni roho mbaya, kijana huyo kafanya vizuri sana kuliko kukopa fedha za kuwezesha semina, kulipa posho na kununua vifaa vya kijeshiRoho mbaya maskini tuliojaliwa wa africa kuona anguko la mwingine daah africa aliyeturoga kwa kwel atusamehe et mihemuko mungu akileta viongozi wenye maono wanapigwa spana wataitwa magaid na madikiteta utasikia wanapenda sifa kisa tu atabana wala rushwa na magaidi sasa wew huko bukinafaso wakifeli wew kinakuuma nini utapungukiwa nini utapata kitu gani.....
kati ya yeye na wanao kopa v8 nani wamuhimu?Ukikopa kumbuka kulipa, ngoja atafute sifa. Atashangaa na mvua hazinyeeshi baada ya kukopa matreka. Muda wa kulipa ukifika tunaanza kulia lia ohoo mtusamamehe, unajua sisi ni taifa changa.