Poor comment, waogopa maamuzi. Kuna nchi za jangwani kama misri na israel zinaongoza kuzalisha baadhi ya mazao duniani. Mfano nchi yenye kuzalisha vitunguu vingi Africa ni Egypt (Misri), pamoja na kwamba ipo jangwani. Tuheshimu, tijifunze kwa watu wanaochukua hatua kwa lolote kuliko kukaa na kuishia kusaliamina na mdori Eunice ndo tunaona jambo la maanaUkikopa kumbuka kulipa, ngoja atafute sifa. Atashangaa na mvua hazinyeeshi baada ya kukopa matreka. Muda wa kulipa ukifika tunaanza kulia lia ohoo mtusamamehe, unajua sisi ni taifa changa.
Wazungu wanawazugia kivuli cha demokrasia ili mvutane miaka nenda rudi na msipige hatuaArejeshe Demokrasia.
Wanajeshi walinde mipaka sio kazi yao kuhodhi Madaraka.Wazungu wanawazugia kivuli cha demokrasia ili mvutane miaka nenda rudi na msipige hatua
Sisi tunalipa CASH, V8 hadi Boeing kule.kati ya yeye na wanao kopa v8 nani wamuhimu?
Pop wako Mil 22 tuBF ni si kubwa kama Tanzania, trekta 400 kwa kuanzia ni tosha kabisa!!
hahahaha kati ya tractor V8 Boeing kipi kinasaidia jamii kwa harakaSisi tunalipa CASH, V8 hadi Boeing kule.
Kilimo kwanza
Umesahau Kilimo kwanza nasi tulikuwa na power tila za kutosha? Hata sijui zilenda wapi Mungu wangu nchi hii.hahahaha kati ya tractor V8 Boeing kipi kinasaidia jamii kwa haraka
MI JITU MEUSI/MI AFRICA ndivyo ilivyoRoho mbaya maskini tuliojaliwa wa africa kuona anguko la mwingine daah africa aliyeturoga kwa kwel atusamehe et mihemuko mungu akileta viongozi wenye maono wanapigwa spana wataitwa magaid na madikiteta utasikia wanapenda sifa kisa tu atabana wala rushwa na magaidi sasa wew huko bukinafaso wakifeli wew kinakuuma nini utapungukiwa nini utapata kitu gani.....
Hizo kidogo Sana. Ukiamua kukopa Usikope Buku Utadhalilika Because you will not get positive results. Kopa Trecta 400000BURKINA FASO PRESIDENT TRAORE BOUGHT 400 TRACTORS INSTEAD OF BUYING EXOTIC CARS. SEE THE REASON.
View: https://www.youtube.com/watch?v=tJqaGdf5OLc&ab_channel=InterVlog
Una wivu sana jamaa ni kwa sababu tu serikali yako hata kuthubutu jambo moja la maana imeshindwa na inaogopa.Huyu kijana anauongozi wa mihemuko sana kawaida kwa viongozi wa bala hili la giza