Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Rais wa China, Xi Jinping, amewasili nchini Marekani kwa ndege yake aina ya Boeing 747, iliyotua katika Kambi ya Pamoja ya Andrews.
Katika maandalizi ya mapokezi na ulinzi wa hafla hiyo, ndege za kijeshi aina ya F-16 na F-22 Raptor zilipangwa na kuegeshwa uwanjani, huku ndege mbili za aina ya B-1 zikifanya safari ya maonyesho angani.
Uwepo wa ndege hizo za kijeshi uliongeza taswira ya kijeshi katika hafla hiyo. Aidha, mizinga ilipigwa kwa heshima, huku vikosi vya kijeshi vikiwa katika mpangilio rasmi wa mapokezi.
Bendera za China na Marekani ziliwekwa katika eneo hilo, zikionyesha hadhi ya tukio hilo la kidiplomasia. Kivutio kingine kilikuwa zulia jekundu lenye urefu wa takribani mita 100, lililowekwa kutoka kwenye ndege ya Rais Xi Jinping hadi eneo la mapokezi.
Mchanganyiko wa heshima za kijeshi, ndege za kivita, saluti za mizinga, bendera za mataifa hayo mawili uliifanya safari hiyo kuwa na taswira ya kipekee na isiyo kawaida katika historia ya Marekani kwa zaidi ya miaka 50.
Hata hivyo, Matumaini ya China kutoa ahadi mpya ya kununua ndege za Boeing yanaendelea kupungua kuelekea mkutano wa kilele wa Alhamisi kati ya marais wa Marekani na China.
Badala yake, Boeing inalenga kukamilisha makubaliano ya Mei ambayo yanaipa China mpango wa kununua ndege 200, badala ya kupata ahadi mpya za kununua mamia zaidi ya ndege kama ilivyotarajiwa awali.
Boeing ilikuwa imezuiwa kwa kiasi kikubwa kupata oda mpya kutoka China tangu mwaka 2017, huku mpinzani wake wa Ulaya, Airbus, akiendelea kuongeza sehemu yake ya soko katika moja ya masoko makubwa zaidi ya usafiri wa anga duniani.
Kwa mujibu wa makadirio ya soko ya Airbus na Boeing, China inatarajiwa kuagiza takribani ndege mpya 9,000 ifikapo mwaka 2045.
Baada ya mkutano wa Mei, Mkurugenzi Mtendaji wa Boeing, Kelly Ortberg, alisema oda ya ndege 200 ilikuwa “sehemu ya kwanza” ya oda kubwa zaidi zilizokuwa zikitarajiwa, huku akisema kufunguliwa tena kwa soko la China ndilo lilikuwa jambo muhimu zaidi kwa kampuni hiyo.
------------
Tusubiri leo baada ya Mkutano wao muafaka utafikia nini zaidi
=============
Hopes for a new China commitment to buy Boeing (BA.N), opens new tab planes are sinking ahead of a Thursday summit between the US and Chinese presidents, two people briefed on the matter said on Wednesday, with negotiations still in flux.
The planemaker instead is trying to finalize a May deal for China to buy 200 planes, rather than earlier hopes of securing new commitments for hundreds more jets, the people said on condition of anonymity because the talks are private.
The provisional deal struck in tandem with US President Donald Trump's last summit with Chinese counterpart Xi Jinping in Beijing put Boeing back into competition for Chinese jetliner orders.
The US planemaker had been effectively shut out since 2017, while European rival Airbus (AIR.PA), opens new tab had continued to expand its market share in one of the world's biggest aviation markets.
China is expected to order around 9,000 new jets by 2045, more than any other region, according to Airbus and Boeing market forecasts.
The two Trump-Xi summits this year were expected to catalyze a new round of Boeing purchases. Ahead of the spring summit, Boeing, Chinese and US officials were discussing a deal for as many as 500 jets.
After the May summit, Boeing CEO Kelly Ortberg said the smaller-than-expected 200-jet deal was an "initial tranche" of orders and that reopening the China market was the real win.
Investors and aviation analysts had expected another large order to follow at Thursday's summit, but Ortberg last week played down that prospect.
Source: Reuters