Ilikuwa jana jioni mh. marco joseph alipoamua kulivunja baraza lake la mawaziri kutokana na sababu mbalimbali za baadhi ya watendaji wake kuonesha utomvu wa nidhamu,cha kushangaza kamuacha waziri mkuu ambaye alikuwa na bifu binafsi na waziri wa fedha kwa sababu tofauti za itikadi za kichama, rais kafanya hivyo kuhofia kupoteza nafasi hiyo kwani speaker alimshauri avunje baraza hilo mapema iwezekanavyo ili asije akapigiwa kura ya kutokuwa na
imani na serikali,je wadau ni vyema waziri mkuu akabaki na huku baraza lote limevunjwa?wanasiasa mnasemaje kuhusu hili
imani na serikali,je wadau ni vyema waziri mkuu akabaki na huku baraza lote limevunjwa?wanasiasa mnasemaje kuhusu hili