Big up sana kijana wetu john umeituwakilisha vzur udom, kesho mapokez yatafanyika viwanja vya coed karibun nyote wana udom na wengine kumpokea rahia wetu
upo mwaka wa ngapi mwamdogo?Big up sana kijana wetu john umeituwakilisha vzur udom, kesho mapokez yatafanyika viwanja vya coed karibun nyote wana udom na wengine kumpokea rahia wetu
tupa kuleAtakua gamba
Apo UDOM namkubali sana Philip Mwakibinga waziri mkuu wa collage of social science & humanities, yule jamaa ni jembe sana, ilibidi awe amegraduate toka mwaka juzi, harakati za kutetea wanyonge zimemfanya agraduate mwakani

Yupo mwingine anaitwa Lema(alikuwa rais wa natr science & maths) katika kipindi mwakibinga akiwa rais wa social. Huyo naye alifukuzwa ila ata graduate mwakani.
Wa pili mkuu