Rais wa COED UDOM ameachaguliwa kuwa rahisi wa vyuo vikuu vyote Tanzania

Rais wa COED UDOM ameachaguliwa kuwa rahisi wa vyuo vikuu vyote Tanzania

kwel udom chuo cha kata,kinabeba mpk vilaza et rahisi,rahia
kwel uko chuo kikuu
unategemea kwa hali hii uwe competent km sisi wa chuo cha taifa udsm
shame on you!!!
 
kwel udom chuo cha kata,kinabeba mpk vilaza et rahisi,rahia
kwel uko chuo kikuu
unategemea kwa hali hii uwe competent km sisi wa chuo cha taifa udsm
shame on your!!!!

altaka nkuandikie vzur kwan naomba kaz we mseen... nn
 
Nicholas,

Ndugu yangu Umezungumza maneno mazito sana!..na kila kitu umekichambua kiutaalam na pia umeweza kuzama ndani ya mioyo ya watu wote - Waathirika na hao warithi wanaofaidika. Swala kubwa tu ambalo ningekuomba labda utufunulie ama kutupatia ufumbuzihapa...

Tuanzie wapi... wapi panatakiwa kweli serikali yetu iwekee mkazo zaidi kwa sababu mimi binafsi kinachonishinda kuelewa na hata kupata ufumbuzi ni kwamba haohao viongozi wetu - wanasiasa ndi haohao wasomi wetu wa uchumi na watoa maamuzi ya sehemu zote mbili. Siamini kabisa kwamba tuachie dunia iwe fundisho la utandawazi na dira ya maendeleo yetu. Lazima ipo njia ya kutupa hata mwanga wapi wananchi wanatakiwa waelekee! hata kwa jina kama waislaam wanavyoamini KIBLA ni MECCA.. kokote uliko maelekeo yako yatalenga malengo ya hilo neno Kibla.

Mwisho kuna kipengele umezungumzia kuwa wananchi bado hawapo tayari kuhimili mabadaliko ya kuleta usawa na haki. Ebu nipe dawa kidogo hapo maanake nimekwama.

tafiti inapingwa na tafiti,umeshindwa hoja umeamua utukane sio?
tatzo la kusoma vyuo vya kata
nina wasiwasi na taaluma yako

#### kilaza butu####
 
kwel udom chuo cha kata,kinabeba mpk vilaza et rahisi,rahia
kwel uko chuo kikuu
unategemea kwa hali hii uwe competent km sisi wa chuo cha taifa udsm
shame on you!!!

Acha ujinga wewe na icho chuo chako cha mafisadi wanaokutapeli hata wewe kilaza wa icho unakiita cha taifa. Kwanza hujielewi ,University of Dar haimanishi chip cha taifa
 
udom yamuna kiongozi hapa labda mwakibinga huku social and humanities maji hayatoki wiki viongozi kimya , umeme wanakata kila asubuhi viongozi kimya, tunasoma bila spika no projector was kimya wao ni kubandika matangazo ya ujinga utasikia disco cafe ya Alfa kiingilio 2000 du udom hakuna kiongozi jembe hata kidogo maji na spika tatizo sugu chuo kikubwa km hiki
 
udom hamuna kiongozi hapa labda mwakibinga huku social and humanities maji hayatoki wiki viongozi kimya , umeme wanakata kila asubuhi viongozi kimya, tunasoma bila spika no projector was kimya wao ni kubandika matangazo ya ujinga utasikia disco cafe ya Alfa kiingilio 2000 du udom hakuna kiongozi jembe hata kidogo maji na spika tatizo sugu chuo kikubwa km hiki
 
Apo UDOM namkubali sana Philip Mwakibinga waziri mkuu wa collage of social science & humanities, yule jamaa ni jembe sana, ilibidi awe amegraduate toka mwaka juzi, harakati za kutetea wanyonge zimemfanya agraduate mwakani

FaizaFoxy
Collage....
 
Last edited by a moderator:
Sa mtu kuchaguliwa Rais wa wanavyuo wote ndo kichwa? Mboa viongozi wengi ni siasa tu zinawabeba ndo mana wana discontinue because always they think about POLITICS.
 
kwel udom chuo cha kata,kinabeba mpk vilaza et rahisi,rahia
kwel uko chuo kikuu
unategemea kwa hali hii uwe competent km sisi wa chuo cha taifa udsm
shame on you!!!

Kuish jiran na mahakama co kujua sheria!! Ucjdai unaweza kua udsm na ukawa kilaza pia!!
Na wewe wa udom jifunze kuandka
 
Bro Barnabas umenikumbusha mbali nakumbuka kama sikosei ni 2011 uyo jamaa Tumsifu Lema alikuwa anajiamini sana na alikuwa anajenga sana hoja wakiwa na pacha wake Mwakibinga, alafu kunajamaa alikuwa COED anaitwa Kobelo au Kobeho kama sikosei, ile ndo UDOM

Kabeho
 
"rahis" "Big up sana "umeituwakilish" "rahia" wetu[/QUOTE]



DUH: SIJAKUELEWA KABISA UMAANISHACHO. au ndo degree za kichina
 
udom hamuna kiongozi hapa labda mwakibinga huku social and humanities maji hayatoki wiki viongozi kimya , umeme wanakata kila asubuhi viongozi kimya, tunasoma bila spika no projector was kimya wao ni kubandika matangazo ya ujinga utasikia disco cafe ya Alfa kiingilio 2000 du udom hakuna kiongozi jembe hata kidogo maji na spika tatizo sugu chuo kikubwa km hiki[/Q

udom hakuna kiongozi labda mwakibinga...je mwakibinga si kiongozi?? logic imekaa vibaya then statement yako inagree to disagree
 
Duh kweli UDOM ina maajabu ya Africa,hebu someni vizuri muone hawa wasomi wanachokiandika.
 
First Class Degree ya Udom ni sawa na Pass Degree ya Mzumbe, Udsm au SUA so wasameheni bure hao vilaza wanaoingia chuo na div. four
 
kwel udom chuo cha kata,kinabeba mpk vilaza et rahisi,rahia
kwel uko chuo kikuu
unategemea kwa hali hii uwe competent km sisi wa chuo cha taifa udsm
shame on you!!!
wakati sisi wanavyuo vikuu vingine tukifikiria changamoto ya ajira EAC baadhi ya wapuuzi wa udsm wanabaki na ushabiki wa kipuuzi nahisi udsm ndo wapuuzi zaidi
 
watanzania tena wanavyuo vikuu badala wajadili changamoto zinazokabili nnchi wanajadili chuo kipi bora woote nyie wa udsm&udom wase-ng ila hiyo wa udsm mse-ng zaidi udom kuna zaidi ya wanafunzi 100000 huwezi chukua mpuuzi mmoja wa udom na kujumuisha chuo kizima kama udsm vichwa mbona wanadisco mbona wengi wapo mtaani hawana ajira
ingependeza jukwaa hili liwe la kujadili changamoto za elimu tz na siyo chuo kipi bora kwa sababu mwisho wa cku evaluation ya interview inafanywa na wewe binafsi na si chuo
wana udsm badilikeni nahisi mnanyege.......
 
wakati sisi wanavyuo vikuu vingine tukifikiria changamoto ya ajira EAC baadhi ya wapuuzi wa udsm wanabaki na ushabiki wa kipuuzi nahisi udsm ndo wapuuzi zaidi

huwez pambana na soko la ajira EAC ikiwa unazalisha watu wasiokuwa competent
mtu hajui hata kuandika,ataweza kujieleza kwel???
hujapewa kichwa kiçhwa kufugia nywele!!
shame oñ you kwa kufikir kutumia makalio
 
Back
Top Bottom