Rais wa COED UDOM ameachaguliwa kuwa rahisi wa vyuo vikuu vyote Tanzania

sawa lakini mjue kuwa Tanzania vyuo competent ni vitatu tu yaani Udsm MZUMBE na sua
 
huwez pambana na soko la ajira EAC ikiwa unazalisha watu wasiokuwa competent
mtu hajui hata kuandika,ataweza kujieleza kwel???
hujapewa kichwa kiçhwa kufugia nywele!!
shame oñ you kwa kufikir kutumia makalio
kwa tz vyuo vyote bado vipo chini kielimu siwezi mlaumu kwa kukosea kuandika maana ni kitu cha kawaida sana kuna uwezekano anatumia smart phone hajaizoeya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…