Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Sio kweli kaangalie jinsi kura zinavyopigwa UN actually acceptance ya Israel imepungua na wanaotambua taifa la palestina wameongezeka.Na sasa hivi ndio wakati ambao Israel imezidi kupata washirika wengi kutoka kwenye kila kona ya dunia, na mambo mazuri zaidi yanakuja. Naaam.
Vinabwana na kibanioHivi hivyo vikofia vinabanwa na nini mpk hakianguki. Mwangalie rais wa Congo amekivaa pia.