Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Cuba anajitutumua na yeyeHao wachovu ni kuwaacha wafe na njaa tu hakuna haja ya kusumbuana nao.
Kwasaabu marekani mgomvi siku zote anapeleka jeshi katika nchi husika,Marekani ana maadui wengi ila hawaidhuru ardhi yake, kwanini??
Tayari Cuba ameanza kuona udhaifu wa USA kupitia Iran,Hao wachovu ni kuwaacha wafe na njaa tu hakuna haja ya kusumbuana nao.
Iran hajapeleka jeshi anarudha makombora tu kama ambavyo Iran anarusha.Kwasaabu marekani mgomvi siku zote anapeleka jeshi katika nchi husika,
Huwezi kuacha kupambana na jeshi lililokuvamia uanze kuhangaia kurusha drone Los Angeles 🙏
Anarusha kutokea wapi mkuu?Iran hajapeleka jeshi anarudha makombora tu kama ambavyo Iran anarusha.
Nchi za Gulf ndio zilizompiga? Lakini si anajua ni wazi US ndie anaewapiga mkuu, kwanini asitafute namna na yeye awatwange huko kwao ili heshima iwekwe.Anarusha kutokea wapi mkuu?
Je, nikutokea Virginia?
Anarusha kutokea middle East ndio maana Iran kazipiga nchi za Gulf 🙏
Okay sawa acha tuingie phase inayofuata tutapiga hadi Pentagon Virginia na CIA HQ Langley,Nchi za Gulf ndio zilizompiga? Lakini si anajua ni wazi US ndie anaewapiga mkuu, kwanini asitafute namna na yeye awatwange huko kwao ili heshima iwekwe.
Kabisa hilo ndilo ninalolitaka, hawa US wao raia wao hawapati upinzani toka nje zaidi ya matatizo yao tu ndani ya nchi.Okay sawa acha tuingie phase inayofuata tutapiga hadi Pentagon Virginia na CIA HQ Langley,
Hapa tunatumia hizi siku za ceasefire kujaza location kwenye mifumo ya Shaheed pamoja na mifumo ya Khorramshahr missile mkuu 😁
Super powerMarekani ana maadui wengi ila hawaidhuru ardhi yake, kwanini??
Oya unapoivuta usichanganye na kinyesi bro tutakupoteza 🤣🤣Marekani washenzi sana
Uzuri Cuba 🇨🇺 sio waislam kusema nawao wanafuga magaidi kama wanavyosema baadhi ya wajinga fulani
Ila iran kaonesha njia safi sana na cuba kamatieni hapo hapo mpaka magaidi wa marekani waelewe kama washazeeka
Rais wa Cuba, Miguel Díaz-Canel, amesema Taifa lake liko tayari kupambana endapo Marekani itachukua hatua za Kijeshi, licha ya kusisitiza kuwa hawatamani vita.
Akizungumza katika mkutano mkubwa wa kuadhimisha miaka 65 ya Mapinduzi ya Kisoshalisti, Díaz-Canel amesema hali ya sasa ni ngumu na inahitaji taifa kuwa tayari kukabiliana na vitisho vikubwa, ikiwemo mashambulizi ya kijeshi.
“Hatutaki hali hiyo, lakini ni wajibu wetu kujiandaa ili kuizuia, na ikiwa haitakwepeka, basi tuishinde,” alisema.
Kauli hiyo inakuja wakati mvutano kati ya Cuba na Marekani ukiendelea kuwa juu, huku mgogoro wa nishati ukizidi kuathiri maisha ya kila siku kufuatia vikwazo vya Marekani.
Wakati huo huo, Donald Trump amesema huenda akaivamia Cuba baada ya kumaliza mzozo unaohusisha Iran, akiitaja nchi hiyo kuwa imekuwa ikikumbwa na matatizo kwa muda mrefu.
Kabisa. Na hawana madhara kwa USHao wachovu ni kuwaacha wafe na njaa tu hakuna haja ya kusumbuana nao.
Iran huyu anayepigwa na Israel kwa sasa hata makombora ya kujibu hana?Tayari Cuba ameanza kuona udhaifu wa USA kupitia Iran,
Na alishawahi kumpiga katika vita ya Bay of Pigs.