Rais wa Cuba, Miguel amesema Taifa lake liko tayari kupambana na Marekani

Oya unapoivuta usichanganye na kinyesi bro tutakupoteza 🤣🤣
Kama inakuuma chomoa kijana. Huo ndio uhalisia.
Hii vita Marekani kavuliwa nguo,kiasi hata Spain imemdindia na kumfokea.
Kwa akili zako Cuba ina makosa gani hadi Trump atake kuivamia!??
 
Marekani ana maadui wengi ila hawaidhuru ardhi yake, kwanini??
Maadui zake wengi wapo mbali na ardhi yake, Ili wamfikie lazima wavuke bahari kubwa kwanza hivyo rahisi kuonekana mapema.

Hao wa karibu kama Cuba ni dhaifu mno.
 
Kama inakuuma chomoa kijana. Huo ndio uhalisia.
Hii vita Marekani kavuliwa nguo,kiasi hata Spain imemdindia na kumfokea.
Kwa akili zako Cuba ina makosa gani hadi Trump atake kuivamia!??
Haiumizi inateleza tu labda uifinye kidogo niendelee kusugua🤣
Hii siyo full scale war ndo maana kuna limited strikes huyo Iran anachoshwa tu. Lengo hao magaidi wakiiacha nchi tusipate tabu ya kuanza kuijenga upya.
 
Hanithi kwenye ubora wa uhanithi wake. Kama inakuuma chomoa ujambe.

Hii ni full scale war,huwezi ukasema sio full scale war ilhali USA tangu kuumbwa kwake ametumia shehen kubwa ya tomahawk kuliko vita yeyote ile aliyopigana ndani ya wiki 4.
Hizo limited strike unazozizungumzia wewe ndio zile za KUBOMOA MASHULE,KUBOMOA,HOSPITALI,KUBOMOA VYUO VIKUU NA KUBOMOA VIWANDA VYA DAWA!??

Kasome maana ya ugaidi ndio urejee hapa,USA inafadhili machafuko Haiti je unalijua hilo!?
USA ndio muasisi wa Alqaeda je unalijua hilo!?
USA ndio muasisi wa Taliban ili aiangushe USSR je unalijua hilo!?

Bado mtoto sana kielimu.
 
Labda elimu ya madrassa lakini elimu kama elimu ukienda mbali Sana labda Una shahada ya MUM Kwanza unajuwa maana ya full scale war wewe? Hutu Tu habari mnaokoteza okoteza kwenye source za wahafidhina mnatuharibia Sana JF.
 
We matako BBC,CNN,WALL STREET JOURNAL,CGTN,ALJAZEERA vyote vimetangaza nilichoeleza hapo.
Kama umeshindwa hoja usikimbilie udini HANITHI wewe.
Kuhusu elimu kimbia unavyokimbia bado hupati ngazi za elimu nilizofika.

Na kuhusu Al qaeda tafuta interview za HILLARY CLINTON akieleza kuanzia kuunda Taliban na kuwafadhili silaha mujaheddin wa Chechen ili waiangushe USSR.
 
Hii ni vita ya Daudi na Goliati

Sijui ila kwa uwezo wa marekani kwa silaha na fedha.

Cuba labda apate support ya China au Russia.
 
Back
Top Bottom