Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Rais wa Djibouti, Ismael Omar Guelleh, ameshinda tena uchaguzi kwa kupata asilimia 97.8 ya kura, kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji la Serikali, Radio Television Djibouti, siku ya Jumamosi. Ushindi huo unampa muhula wa sita madarakani, na hivyo kuongeza utawala wake ambao sasa umefikia miaka 27 katika taifa hilo dogo lakini lenye umuhimu mkubwa kimkakati katika Afrika Mashariki.
Guelleh alichapisha picha yake kwenye mtandao wa X akiwa na neno la Kifaransa “RÉÉLU”, likimaanisha “amechaguliwa tena”.
Guelleh ni rais wa pili tu wa Djibouti tangu ilipopata uhuru kutoka Ufaransa mwaka 1977.
Djibouti, yenye idadi ya watu chini ya milioni moja, ipo kwenye Ghuba ya Aden karibu na mlango wa Bahari Nyekundu, na ni mwenyeji wa vituo vya kijeshi vya Marekani, China, Ufaransa, Italia na Japani. Tangu mwaka 2023, meli kadhaa za kibiashara zilizoharibiwa katika mashambulizi ya waasi wa Houthi wa Yemen zimekuwa zikitia nanga nchini humo.
Ushindi wa Guelleh mwenye umri wa miaka 78 haukuwa na shaka, kwani aliteuliwa mwaka 1999 kumrithi mjomba wake Hassan Gouled Aptidon, na chama chake kinatawala taasisi nyingi za kitaifa.
Mwezi Oktoba mwaka jana, bunge lilipiga kura kuondoa kikomo cha umri wa miaka 75 kwa wagombea urais, na pia kuondoa sharti la kura ya maoni lililokuwa linahitajika hapo awali ili kupitisha katiba mpya.
Chanzo: BBC
=====
Djibouti's President Ismail Omar Guelleh has won an election with 97.8% of the vote, keeping him at the helm of the strategically-placed Horn of Africa nation for a sixth term, preliminary official results show.
The 78-year-old's sole challenger Mohamed Farah Samatar got 2.19% of the vote, in a poll boycotted by most of the opposition.
In power for 27 years, Guelleh had promised to step down, but ran for re-election after the constitution was amended in November to remove the upper age limit of 75 for presidential candidates.
Guelleh's campaign focused on the fact that he had maintained stability in Djibouti at a time when other regional states, and the Middle East, had been hit by conflict.
Lying on the Bab el-Mandeb Strait, Djibouti serves as a gateway to the Suez Canal, one of the world's busiest shipping routes.
The US, China, France, Italy and Japan have military bases in the country.
Guelleh is only Djibouti's second president since it gained its independence from France in 1977.
The leaders of the main opposition parties - including Dahir Ahmed Farah - have boycotted elections since 2016, saying there was no free political activity.
Guelleh celebrated his victory at his home, saying it was a victory for the entire nation.
Officials said that more than 80% of registered voters cast their ballots in Friday's election.
Samatar, who was the flag-bearer of a small party with no parliamentary seats, has not yet commented.
The results were released by the interior ministry but still need to be validated by judges on the constitutional council before Guelleh can be sworn in for another five-year term.
He won the 2021 election by a similar margin.
In 2010, Djibouti's parliament scrapped term limits, and shortened presidential mandates from six to five years.
It also set 75 as the age limit for candidates, before changing the constitution in November so that Guelleh could run for office again.