Rais wa DRC CONGO atafuta uungwaji mkono huko Angola, aapa kuingamiza M23

Rais wa DRC CONGO atafuta uungwaji mkono huko Angola, aapa kuingamiza M23

Amani iwe kwenu wadau

Rais wa Kongo ameenda kuonana na rais wa Angola na amemwomba jeshi likasaidie kuwaondoa m23

Na ameapa inyeshe mvua lipige jua lazima awaondoe M23

Kibabe sana

Tuendelee kuombea Aman ndugu zangu

LONDON BOY
Sio aiondoe M23,pia wawe na mkakati wakumuondoa huyo kimbaumbau,bila kumkill huyo kimbambau Congo haitotulia kabs
 
Kuna mtu kasema vyema

Bongoland inajua mchezo wote na jinsi ya kuucheza ila huyo Rais tangu mwanzo alionekana kuidharau bongo hata alipoapa tu ,alikimbilia kwa bepari Kenya leo anatanga tanga wakurungwa wanamchora tu

Kwa kifupi huyo jamaa nae ndio maana Kagame anamdharau sanaaaaa
 
Waasi wa AFC wanaelekea huko huko Kinshasa Tshisekedi atajikuta anapigana nao kwenye viunga vya Mji wa Kinshasa.

Afanye mazungumzo nao.
 
Amani iwe kwenu wadau

Rais wa Kongo ameenda kuonana na rais wa Angola na amemwomba jeshi likasaidie kuwaondoa m23

Na ameapa inyeshe mvua lipige jua lazima awaondoe M23

Kibabe sana

Tuendelee kuombea Aman ndugu zangu

LONDON BOY
Mbona hatuoni viapo.vyake uwanja wa vita? Angola atamsaidia nini Sasa huko ni kutapatapa.
 
Kuna mtu kasema vyema

Bongoland inajua mchezo wote na jinsi ya kuucheza ila huyo Rais tangu mwanzo alionekana kuidharau bongo hata alipoapa tu ,alikimbilia kwa bepari Kenya leo anatanga tanga wakurungwa wanamchora tu

Kwa kifupi huyo jamaa nae ndio maana Kagame anamdharau sanaaaaa
Safi sana ila Wakenya walichomfanya hatokaa asahau.

Saizi kimbilio lake ni Angola,huyu aondolewe na ataondoka ndio maana anatapatapa
 
Waasi wa AFC wanaelekea huko huko Kinshasa Tshisekedi atajikuta anapigana nao kwenye viunga vya Mji wa Kinshasa.

Afanye mazungumzo nao.
Kasema hataki mazungumzo na waasi
 
Mimi ningekuwa rais vijana wangu wasingeenda kuuwawa bure.Ningemwambia huyo Tshekedi alete MATRUNKA YA DHAHABU kama 100 hivi yakae pale BOT kukuza uchumi wa nchi.

Ningeitisha uwandikishaji wa vijana jeshini waende wakapige hela huko badala ya kuzurura mjini DASLAM.

Ningemsainisha mkataba wa kumpa ulinzi, kuanzisha SMO na kuweka kambi nne hapo MASHARIKI YA CONGO kwa mda wa miaka 15.Hao M23 wangekuwa HISTORIA.

Pia angetakiwa kutoa migidi miwili ya Cobalt na coltan ili kuweza kufinance hizo kambi za jeshi nne hapo mashariki ya CONGO.

Lazima tupigane kisasa na kwa faida!!!
 
Angola haiwezi kumsaidia kwenye hili, it is just too late. M23 wamesha gain upper hand na wana confidence ya kumuondoa Felix mazima. Makosa aliyoyafanya Felix tangu awali ni pamoja na;
1. Hakujenga mahusiano mazuri naya karibu na viongozi wenzake wa EAC. At the moment wote wanamtazama wakisubiria jua lizame.
2. Alipoingia madarakani hakuwekeza katika kujenga jeshi imara, lenye nidhamu na ambalo litakuwa loyal kwake. Alitegemea zaidi mamluki kutoka Poland na France ambao wameshamkimbia. All in all inabidi aanze kuangalia plan B ya maisha yake binafsi. Kama Mobutu aling'olewa Felix ni mwepesi sana and the guy yuko kwenye panic mode kwasasa.
 
Amani iwe kwenu wadau

Rais wa Kongo ameenda kuonana na rais wa Angola na amemwomba jeshi likasaidie kuwaondoa m23

Na ameapa inyeshe mvua lipige jua lazima awaondoe M23

Kibabe sana

Tuendelee kuombea Aman ndugu zangu

LONDON BOY
Ukiweka wanyarwanda pembeni katika uhodari wa kupigana vita, Wa Angola ni jeshi bora kivita sio kama hawa ma SADC wengine mikwara tu ila vita hawajui
 
Back
Top Bottom