Rais wa DRC CONGO atafuta uungwaji mkono huko Angola, aapa kuingamiza M23

Rais wa DRC CONGO atafuta uungwaji mkono huko Angola, aapa kuingamiza M23

Huyu anachimba shimo soon ataingia, kabla hao m23 hawajang'olewa atang'oka yeye na biashara itaishia hapo. Tabia ya kutuliza akili kabla ya ku act sio wengi waliojliwa nayo. Hasa jambo lako ukihusisha kijiji kizima
 
Back
Top Bottom