Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 37,630 Reaction score 47,434 Feb 1, 2025 #21 joseph1989 said: Ukweli ambao US,EU hawawezi kuongea sababu wanajua wakimkemea Kagame watakosa Colbalt na Coltan ya wizi kwani DRC ina zaidi ya asilimia sitini ya Cobalt yote duniani. Msikilize mbunge wa Ubeligiji akiongea kwa data. View: https://m.youtube.com/watch?v=ajQhHy6U830&pp=ygUfV2hlbiB3b21hbiBiZWcgbWFuIHRvIG1hcnJ5IGhlcg%3D%3D Click to expand... Wabalgiji wameiba Congo mpaka wameomba msamaha. Nchi ya ubelgiji imejengwa na utajiri wa Congo.
joseph1989 said: Ukweli ambao US,EU hawawezi kuongea sababu wanajua wakimkemea Kagame watakosa Colbalt na Coltan ya wizi kwani DRC ina zaidi ya asilimia sitini ya Cobalt yote duniani. Msikilize mbunge wa Ubeligiji akiongea kwa data. View: https://m.youtube.com/watch?v=ajQhHy6U830&pp=ygUfV2hlbiB3b21hbiBiZWcgbWFuIHRvIG1hcnJ5IGhlcg%3D%3D Click to expand... Wabalgiji wameiba Congo mpaka wameomba msamaha. Nchi ya ubelgiji imejengwa na utajiri wa Congo.
K Kama ipo ipo JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,119 Reaction score 1,728 Feb 1, 2025 #22 Huyu anachimba shimo soon ataingia, kabla hao m23 hawajang'olewa atang'oka yeye na biashara itaishia hapo. Tabia ya kutuliza akili kabla ya ku act sio wengi waliojliwa nayo. Hasa jambo lako ukihusisha kijiji kizima
Huyu anachimba shimo soon ataingia, kabla hao m23 hawajang'olewa atang'oka yeye na biashara itaishia hapo. Tabia ya kutuliza akili kabla ya ku act sio wengi waliojliwa nayo. Hasa jambo lako ukihusisha kijiji kizima