Rais wa DRC Felix Tshisekedi achagua kujiunga na SGR ya Tanzania

Tunazungumzia uchumi, kwamba DRC imeamua kuungana na Tanzania ktk kujenga SGR, kama Uganda ilivyochagua TZ na kuikimbia Kenya ktk bomba la mafuta. Kama una lolote la kusema kuhusu hili jambo, au kwako wewe unaona poa tu wakati SGR imeishia porini na inaendelea kutengeneza hasara kila mwaka?
Hivi Tz imeamua Sgr ya kwenda Drc ipitie Burundi na sio Rwanda hivi ni Kwanini
 
Tunazungumzia uchumi, kwamba DRC imeamua kuungana na Tanzania ktk kujenga SGR, kama Uganda ilivyochagua TZ na kuikimbia Kenya ktk bomba la mafuta. Kama una lolote la kusema kuhusu hili jambo, au kwako wewe unaona poa tu wakati SGR imeishia porini na inaendelea kutengeneza hasara kila mwaka?
Bruh! Did I quote you?
 
Mchina katoroka northern corridor kaja central corridor. Soma hii
Tanzania is also yet to get full funding for its own SGR line, although it is eyeing Chinese support which two months ago declared its intention to finance the project.

Kuhusu Uganda pipeline read here

SGR Tanzania phase I inching 80% to be ready first half 2020 while phase II 20% is already attained!
Show us anything that you've attained so far and is working as we speak. I am sure non is working as we speak. Nimeingia humu juzi na kupitia nyuzi nyingi mno ili niweze kucatch up and one thing stands out for everyone to see. Tz has only one project completed sof and that is the only BRT system.
 
Brt is not yet complete, bado sanaa.
 
1)Airport, the biggest and ultra modern in the region
2)Four civilian radar
3)Kigamboni bridge
4)Biggest and modern Stadium in the region
5)Mloganzila ultra modern Hospital
6)Procurement of 8 New planes

Show us any complited any working project apart from lose making white elephant old, slow SGR
 
Tutaikingia kifua burundi kama tunavyowakingia kifua kwenye masuala mengine
'Burundi has largest deposits of Nickel in Africa !?'

Hizo deposits hazijaisaidia chochote Burundi,imeshindwa mpk kupata pesa za kufanya uchaguzi imeamua mpk kuwakata wafanyakazi kwny mishahara yao na wanafunzi waliofikia umri wa kupiga kura $0.54/student.

Nchi iliyofikia hatua mpk FDI yake kua $200,000 yaani (usd laki 2 tu),hamna kitu pale labda Bongo iikingie kifua.
 
Show us anything that you've attained so far and is working as we speak. I am sure non is working as we speak. Nimeingia humu juzi na kupitia nyuzi nyingi mno ili niweze kucatch up and one thing stands out for everyone to see. Tz has only one project completed sof and that is the only BRT system.
Msipoangalia hata Uganda watawatoroka! The two ferries will add up to 2 ferries already existing between Port Bell and Mwanza! That means there will be a total number of 4 ferries per day! I don't think Uganda won't think of viability of their SGR from Kampala to Malaba considering the superior speed the central corridor trains will be travelling!

GOT has allocated funds for 2 new wagon ferries to ply in Lake Victoria.

since they did this already
 
Uganda hawaendi anywhere you can take that to any bank in Tanzania. You'll always be our underdogs love it or hate it.
1)Airport, the biggest and ultra modern in the region
2)Four civilian radar
3)Kigamboni bridge
4)Biggest and modern Stadium in the region
5)Mloganzila ultra modern Hospital
6)Procurement of 8 New planes

Show us any complited any working project apart from lose making white elephant old, slow SGR
Wewe nilikuambia IQ yako inatosha ule Uzi wa Mandera attack hapo ndio ligi yako.
Brt is not yet complete, bado sanaa.
It is the only thing that is visible and working in Tz.
 
Hongera Magufuli kwa diplomasia yako ya kipekee.[emoji117][emoji117][emoji117]hapa ndipo mnapofeli
 
1)Airport, the biggest and ultra modern in the region
2)Four civilian radar
3)Kigamboni bridge
4)Biggest and modern Stadium in the region
5)Mloganzila ultra modern Hospital
6)Procurement of 8 New planes

Show us any complited any working project apart from lose making white elephant old, slow SGR
BRT, Reli ya kaskazini kurudishwa pia,
 
Uganda hawaendi anywhere you can take that to any bank in Tanzania. You'll always be our underdogs love it or hate it.

Wewe nilikuambia IQ yako inatosha ule Uzi wa Mandera attack hapo ndio ligi yako.

It is the only thing that is visible and working in Tz.
Only thing that is visible and working? [emoji13]
Wewe endelea kujipea moyo buda.
 
Back
Top Bottom