Mchuchu ni "wazazi " wako na wewe Mwenyewe umechekua "tabia zao" baada ya mimi kuwaunga kwenye hiyo saccos unayoshabikia , sasa tabia imekunogea unadhani watu wote ni hivyo
Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Mwanza nchini Tanzania kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi limewakamata raia 52 raia wa Ethiopia kwa madai ya kuingia nchini kinyume cha sheria.