Rais wa FIFA amewapongeza Yanga SC kwa kutwaa vikombe vyote

Rais wa FIFA amewapongeza Yanga SC kwa kutwaa vikombe vyote

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Rais wa FIFA amewapongeza yanga sc kwa kutwaa vikombe vyote 💛💚💪

Pia amewapongeza mashabiki na wanachama kwa kuiyunga mkono timu yao japo ilianza kwa kusuasua

Asante Raisa wa FIFA 💪💚💛

snapins-ai_3684590593639663608.jpg
 
Mimi nataka kuona hapo aliposema pongezi ziende kwa mwanachama wa Yanga kwenye hio barua ni wapi
 
Halafu helicopter ya rais inapata ajali kwa kukosa dpare za kueleweka. Mie naona kama nguvu inayotumika kuzalisha makombora ingetumika kuzalisha vitu vingine vya kiteknolojia, magari, ndege etc Iran ingekuwa mbali sana pia ingekuwa ni msaada mkubwa sana hapo mashariki ya kati na nchi zote za ukanda huo.
 
Back
Top Bottom