Rais wa FIFA atoa tamko kuhusu Qatar

Chief Dalmine unahesabu lakini? Wazee wa vyeti vya ndoa kuangalia world cup! Mko na South America mjue. Cc: Bwana Utam.
 
Kwani waarabu hawakuwa na legacy? Qatar au waarabu wakitwaa kombe itaacha legacy zaidi kuliko maneno ya Infantino.
Mfantino atakua kashavuta pesa yake saaafi, anabwabwaja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…