Rais wa Ghana ameshika picha ya Nairobi akisema anataka Accra ifanane hivyo.

Ahaaa haaa haaa
Exposure exposure exposure. Most of you guys have a limited exposure. Have you ever travelled to Gaborone, Windhoek, Kinshasa.
Tembea uone.
Kinshasa? Wacha kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
 
Nimeiona kwenye documentary fulani, sipingi kuwa iko sawa kushinda Dar lakini haijafikia Nairobi kwa maendeleo wala uchumi.

Ahaaa haaa haaa
ilete hiyo documentary yako hapa.
Nimekuambia uende ukajionee. Na si kujifungia tu hapo Nairobery.
 
Ahaaa haaa haaa
ilete hiyo documentary yako hapa.
Nimekuambia uende ukajionee. Na si kujifungia tu hapo Nairobery.
Kwanza una bundles za Airtel au vodacom za kutosha? Kama unazo niambie halafu nitaweka sasa hivi.
 
Kwanza una bundles za Airtel au vodacom za kutosha? Kama unazo niambie halafu nitaweka sasa hivi.

Ahaaa haaa haaa
Bundles huku niliko ni limitless. Ukitaka njoo ujiunge nasi.
 
Kujia Tusker crate mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…