Wanaongea kuhusu population. Kinshasa ina takriban watu milioni kumi. Lagos ndio kubwa zaidi Afrika ikiwa na watu takriban milioni ishirini. Nairobi na Dar ni ndogo, zina watu takriban milioni tano pekee.You see, the second largest city in sub Sahara Africa.
NdioKinshasa? Wacha kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Anaichukulia poaAhaaa haaa haaa
Tafuta MUDA uende Kinshasa le Congo.
Eliakeem ati exposure bro,LOL-hio hoja yako ya gaborone na windhoek inadhihirisha wewe hujawai toka hapo bongo,kakablaza wacha kiki za ovyo-hoja zako zitaheshimika kulingana na uzito wala sio kiki-skiza hapa-gaborone na windhoek ni miji midogo sana na zimepangika kama estates na wala sio kama miji,but anyways they are nice clean towns without the typical african reckless vandalism and broken systems,but the thing is,most african cities are generally disorganised and dirty,the few that are planned were done by colonial settlers,we really need to redeem ourselves as africans and start doing things the proper way.you don't have to be rich to live an organized and decent life.
tafuta mkalimani dada. usiwe mtu wa kujiaibisha mbele ya halaiki kama Jiwe kila wakati...hahaha ss mnajua nyie wakenya acheni uongo !! ukisoma iyo article na kichwa cha habari cha UZI huu ni positive na negative, kumbe picha ya jengo lilikopiwa na kutumika ktk documents ya serikali ya ghana na wameomba radhi kwa kitendo icho ss mbona ww unasema ati wanataka accra iwe kama nairobi .... acheni uongo accra ni kuzuri kuliko nairobi jamani
Ghanaians to rather focus attention on the content of the document that seeks to guide Ghana towards an irreversible pathway of progress and prosperity.
Kipi kilijengwa Tanzania kwa pesa za ndani?Hivi ni kwanini serikali ya Kenya inashindwa kufanya hata jambo dogo Kwa hela ya ndani mfano kipande cha sgr kilicho bakia ambacho ni muhimu kuunganisha na Uganda ingekuwa Tanzania tungekuwa tayari tunajenga Kwa Pesa yetu
Wenyewe wameshindwa kuweka picha ya Accra wanakimbia kuweka ya Nairobi halafu unakuja kupayuka hapa eti wamefanya makosa, kwani kuna mtu aliwalazimisha kuweka picha ya Nairobi, si waliweka wenyewe? Na usiwahi tena kutype jina la country kwa herufi ndogo, hio ni kukosea Ghana heshima.hahaha ss mnajua nyie wakenya acheni uongo !! ukisoma iyo article na kichwa cha habari cha UZI huu ni positive na negative, kumbe picha ya jengo lilikopiwa na kutumika ktk documents ya serikali ya ghana na wameomba radhi kwa kitendo icho ss mbona ww unasema ati wanataka accra iwe kama nairobi .... acheni uongo accra ni kuzuri kuliko nairobi jamani
Bora wewe unatumia ipasavyo ubongo kutafakari mambo kwa kina.
Huu mjadala unawezageuka vita ya Kenya na Tz. Hua nashangaa hizi chuki zinatoka wapi?
Tulitakiwa tushirikiane kutatua changamoto zetu kama majirani badala ya kujenga uhasama.
Sio kila mtu ni mshirika wako, Hata kwenye Ukoo wenu sio kila mtu unashirikiana nae,
Ndivyo ilivyo kwa Tz na Kunyaland
Nairobi, what a city! The public green spaces.
Yaani wewe, of all the Nairobi park photos, u had to choose....this?Only in Nairobi City! [emoji1]
halafu mlo wa siku unaupata kwa tabuWalianza Wabongo, wakafuata waGhana, next ni no Nchi ya Ulaya [emoji41][emoji41][emoji41] Proudly KENYAN