Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Jawabu analo Lucas MwashambwaHivi Kila mikutano lazima aende yeye hawezi hata kumkaimisha msaidizi wake? 😂😂
sikuhizi hampigii debe tena, sijui nini kilimsibuJawabu analo Lucas Mwashambwa
Alidhani atapata maokoto malangoni pa spika. Inavyo onekana spika alimfungia vioo. Dogo akarukia kwa akina nnauye na februari nao wamesha liwa vichwa. Sasa anapambana kupost kila ziara ya Samia kwa maelezo mareeefusikuhizi hampigii debe tena, sijui nini kilimsibu
Kahamishia uchawa kwa bi chura wa kizimkazisikuhizi hampigii debe tena, sijui nini kilimsibu
Ali-panic sana walipo mhoji kwa nini alikwenda Russia kabla ya Ukraine??Hivi Kila mikutano lazima aende yeye hawezi hata kumkaimisha msaidizi wake? 😂😂
NANI ZUNGU? SI ITAKUWA VITUKO HUKO ULAYAHivi Kila mikutano lazima aende yeye hawezi hata kumkaimisha msaidizi wake? 😂😂
Zungu hayuko kwenye Uongozi wa IPU,namaanisha anaofanya nao kaziNANI ZUNGU? SI ITAKUWA VITUKO HUKO ULAYA
Huyo mwamba alie msogezea maji ya kunywa hajui hata protokali ndogo ya kushika glass? 😁😁😁😁Ali-panic sana walipo mhoji kwa nini alikwenda Russia kabla ya Ukraine??
Nadhani alijisahau, alidhani bado anaongea kwenye Bunge la akina Jesca Msavatabangu na Deo Sanga
View attachment 3126211
Jawabu analo Lucas Mwashambwa
Mbele watu wanajielewa. Hawana uchawa kama Bongoland. Wanakupiga maswali haijalishi jinsia.Ali-panic sana walipo mhoji kwa nini alikwenda Russia kabla ya Ukraine??
Nadhani alijisahau, alidhani bado anaongea kwenye Bunge la akina Jesca Msavatabangu na Deo Sanga
View attachment 3126211
Nimrfuatilia issue nzima hapa niseme tu Akson T amejibu vizuri na hakuonesha panic yoyote kwa hili inaonekana kulikuwa na ajenda nyuma ya pazia na usipo tuliza kichwa unashangaa watu wana vote a vote of no konfidensi kwako.Ali-panic sana walipo mhoji kwa nini alikwenda Russia kabla ya Ukraine??
Nadhani alijisahau, alidhani bado anaongea kwenye Bunge la akina Jesca Msavatabangu na Deo Sanga
View attachment 3126211
Tulia bonge Moja la Spika. I love You TuliaMkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani unafanyika Geneva, Uswisi. Mkutano ulianza Oktoba 13 na utatamatika Oktoba 17,2024. Huu ni mkutano wa 149.
Mjadala mkuu katika mkutano huo ni kuhusu "Matumizi ya Sayansi,Teknolojia na Ubunifu Kwa ajili ya mustakabali wa Amani na Uendelevu" (Harnessing Science, Technology and Innovation for a More Peaceful and Sustainable future)
Hivyo Rais wa IPU, ambaye ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nguzo muhimu katika mkutano unaoangazia mustakabali wa akili mnemba(artificial intelligence) katika demokrasia,haki za binadamu pamoja na utawala wa kisheria na hatimaye kuweka mwongozo wa dunia (outcome document).
View attachment 3126441
Mkutano wa IPU unajili baada ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa,UN kufanyika mwezi uliopita, Septemba,2024. Mkutano wa UN ulipitisha Mpango wa Mageuzi yaani Mkataba kwa ajili ya Mustakabali wa baadaye wa Dunia(the Pact for the Future).
Mustakabali kuhusu masuala ya tabia nchi,hali ya vita duniani, akili mnemba,ukosefu wa usawa na umasikini.
View attachment 3126453
Hivi ndivyo masuala ya dunia na ulimwengu yanavyojadiliwa Kwa mitazamo mbalimbali na hisia tofauti tofauti. Lengo ni kuifanya dunia kuwa pahala salama pa kuishi pasina kujali rangi ya mtu, itikadi, imani na waishio binadamu. Viva Spika Tulia Ackson.
View attachment 3126461
Bravo!!! Madam President!!! Umewakilisha vema.
Unampongeza ujinga na wewe ni chawa wake tu. Ndiyo maana hamfiki mbali. Tilia hana skills kwenye masuala ya conflict resolution and diplomacy. Akikubali positive criticism itamjenga lakini siyo sofa za kibwegeNimrfuatilia issue nzima hapa niseme tu Akson T amejibu vizuri na hakuonesha panic yoyote kwa hili inaonekana kulikuwa na ajenda nyuma ya pazia na usipo tuliza kichwa unashangaa watu wana vote a vote of no konfidensi kwako.
View: https://youtu.be/VQzcl1p-fkE?si=A4Gr_krWjAPS-Csc
Hongera mAdam president of IPU