TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Unaweza kuzifafanua criticism hizo zilizolengwa kwake? Tuanzie hapo kwanza .Akikubali positive criticism
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kuzifafanua criticism hizo zilizolengwa kwake? Tuanzie hapo kwanza .Akikubali positive criticism
Tuliza akili kijana. Kiongozi anapofanya vyema ni vyema kumpa hongera zake. Sijawah kuwa chawaUnampongeza ujinga na wewe ni chawa wake tu. Ndiyo maana hamfiki mbali. Tilia hana skills kwenye masuala ya conflict resolution and diplomacy. Akikubali positive criticism itamjenga lakini siyo sofa za kibwege
Kwa hiyo unaungia kwenye mjadala bila kujua mada?? Unapanda basi la Kimbinyiko halafu ndipo unauliza linakwenda wapi?Unaweza kuzifafanua criticism hizo zilizolengwa kwake? Tuanzie hapo kwanza .
Amefanya vyema kwenye nini? Yaani uchawa ni upumbavu!! Ni nini chema kafanya hapo?Tuliza akili kijana. Kiongozi anapofanya vyema ni vyema kumpa hongera zake. Sijawah kuwa chawa
Nini kibaya amefanya hapo labda ukinelewesha naweza kuungana na weweAmefanya vyema kwenye nini? Yaani uchawa ni upumbavu!! Ni nini chema kafanya hapo?