Rais wa IPU, Dkt. Tulia Ackson alivyofungua Mkutano Mkuu wa 149 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Geneva, Uswisi

Sema Magufuli haka kadada asingekaacha.
Angekaachia kijiti.
Ndo hvyo tu, Mungu naye hupanga yake.

Sema kawe makini maana hakuna Rais anapenda funikwa...🤗😅
 
Unampongeza ujinga na wewe ni chawa wake tu. Ndiyo maana hamfiki mbali. Tilia hana skills kwenye masuala ya conflict resolution and diplomacy. Akikubali positive criticism itamjenga lakini siyo sofa za kibwege
Tuliza akili kijana. Kiongozi anapofanya vyema ni vyema kumpa hongera zake. Sijawah kuwa chawa
 
Unaweza kuzifafanua criticism hizo zilizolengwa kwake? Tuanzie hapo kwanza .
Kwa hiyo unaungia kwenye mjadala bila kujua mada?? Unapanda basi la Kimbinyiko halafu ndipo unauliza linakwenda wapi?
 
Tuliza akili kijana. Kiongozi anapofanya vyema ni vyema kumpa hongera zake. Sijawah kuwa chawa
Amefanya vyema kwenye nini? Yaani uchawa ni upumbavu!! Ni nini chema kafanya hapo?
 
Amefanya vyema kwenye nini? Yaani uchawa ni upumbavu!! Ni nini chema kafanya hapo?
Nini kibaya amefanya hapo labda ukinelewesha naweza kuungana na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…