Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,112
- 34,951
Raisi wa Iran leo kazungumza na dunia mbele ya mkutano wa wakuu wa nchi na serikali wa umoja wa Mataifa UNGA wa 81, Hotuba yake ilikuwa inasubiriwa kwa hamu na shauku kubwa ili kupata muelekeo wa Iran juu mambo makubwa mawili.
1- Msimamo wa Iran baada ya vita ya siku 100 ya Marekani na Israel dhidi ya Iran.
2- Ni mustakabali wa mlango bahari wa Hormuz.
1- Msimamo wa Iran baada ya vita ya siku 100 ya Marekani na Israel dhidi ya Iran.
2- Ni mustakabali wa mlango bahari wa Hormuz.