Rais wa Jamhuri ya Namibia Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, amerejea nchini mwake baada ya kumaliza ziara yake ya Kitaifa nchini Tanzania

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
Rais wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, amerejea nchini mwake baada ya kumaliza ziara yake ya Kitaifa nchini Tanzania.

Rais Netumbo na ujumbe wake wameondoka nchini Juni 22, 2026 kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, huku akisindikizwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Balozi Mahmoud Thabit Kombo.

Namibia ni nchi nzuri sana kuishi na watu wake wanawaheshimu sana Watanzania.
 
Back
Top Bottom